Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

hivi bado tupo January..?? na mbaya zaidi hadi week ijayo bado ni January
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Daahh, hizi comment za mnaojijibu mnanichekesha sana
 
Mtoto wa chekechea haendi shule kwa kuwa hampendi mwalimu wake.

baba yake kasema atamhamisha shule, sasa atasoma shule ngapi huyu, ... hata mm sijui
 
Back
Top Bottom