Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kufatilia mambo ya panya...kwanza tuache tuna msiba mzito wa kitaifa [emoji1]Panya Magawa ana mali kiasi gani? Je ameacha mke na watoto wangapi na nani anawahudimia?
stress mbaya sana,, Mama anawakoroga sana pale juuToka mwaka uanze leo ni siku ya arobaini...
Aya jijibu sasaHivi kufika kilelen ni lazima sana au tunajipendekeza tu?
I need u kiukweliAya jijibu sasa
Kufanya nn tena? Mm bado mtoto sijui ayo ya vileleniI need u kiukweli
Nitakufundisha bana,nitakuambia ukiona tunakakamaa ujue tumefika kibo,tukitetemeka na kupiga yowe mawenz hiyo aiseeKufanya nn tena? Mm bado mtoto sijui ayo ya vileleni
Weeee kumbe!!? Sasa si utapigia watu kelele na hayo mayowe ?Nitakufundisha bana,nitakuambia ukiona tunakakamaa ujue tumefika kibo,tukitetemeka na kupiga yowe mawenz hiyo aisee
Wafate kilichowaleta mjiniWeeee kumbe!!? Sasa si utapigia watu kelele na hayo mayowe ?
Aya bhanaWafate kilichowaleta mjini
Utakaa single mpaka lini? Tafuta pisi mbwa utakufa kwa ugwaduPoa tu nambie
Hayakuhusu tena sitaki unifatilie tutaharibiana ohoooo!Utakaa single mpaka lini? Tafuta pisi mbwa utakufa kwa ugwadu
Ukiambiwa ukweli una panic tafute mke oa kama hutaki demuHayakuhusu tena sitaki unifatilie tutaharibiana ohoooo!
Kha..wee nawe unaoenda mambi ya migegedo...kwa kweli mumeo anafaidiHivi kufika kilelen ni lazima sana au tunajipendekeza tu?