Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
[emoji23][emoji23]Wewe ndio famba hela zangu unataka kunipangia matumizi tafuta zako ukainvest popo wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Wewe ndio famba hela zangu unataka kunipangia matumizi tafuta zako ukainvest popo wewe
Sometimes najihisi kama nomerogwa hivi ila deep down Nani aniroge Mimi si atakua anachezea tu uchawi wake.
Usiombe kukosa pesa, haya maisha unaweza ukajisahau jina.
Mimi! Mimi au! Mi naitwa KicHwa BoXOi we dogo hapo mbele unaitwa nani!! Mfupi kama kufuli
Haya toka hapo mbele unatuziba..Mimi! Mimi au! Mi naitwa KicHwa BoX
HomeWapi hiyoo mzee
Home na nchi inauzwa?Home
Matajiri washabet huko mzee wamempa man uHome na nchi inauzwa?
Nilienda kwa manyaunyau nikanywa damu ya paka nkalazwa hata hela ya kulipa hospitali nkakosa unasema nini weweNilikwambia hakuna hela zinakuja bila kuroga ukajifanya mjuaji kipo wa sasa?
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Wewe ndo umeelewa uzi wengine ni kujaza server tu.Hivi kweli sina kazi?
kaa kwa kutulia kijana huna kazi ndio
Sorry niko nje ya mada.Kaka sijakuquote, kureply wala kukufuata PM kulazimisha ujibu nilichouliza. Muda mwingine kukaa kimya ni kujiheshimu.
Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa😃😃😃😃