Uzi wa Kuandika Nukuu Mbalimbali Kutoka Kwa Kinywa Cha Rais Samia

Engeza nikamwambia Katibu Mkuu Engeza vijana pale Utumishi PSRS vijana wapewe ajira wasiwe wanazagaa mitaani bila ajira vyuo vinajengwa kwa gharama kuengeza vijana wenye ujuzi.... lakini na nyinyi vijana mjiajiri Serekali haezi kuajiri vijana wote wanao engezeka kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…