ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Hii sio Nukuu ni maelezo ya rafudhi na kiswahili Cha KizanzibarEngeza nikamwambia Katibu Mkuu Engeza vijana pale Utumishi PSRS vijana wapewe ajira wasiwe wanazagaa mitaani bila ajira vyuo vinajengwa kwa gharama kuengeza vijana wenye ujuzi.... lakini na nyinyi vijana mjiajiri Serekali haezi kuajiri vijana wote wanao engezeka kila siku