Uzi wa Kuandika Nukuu Mbalimbali Kutoka Kwa Kinywa Cha Rais Samia

Uzi wa Kuandika Nukuu Mbalimbali Kutoka Kwa Kinywa Cha Rais Samia

Hata Wadigo na Wasegeju hutamka hivyo.
Sikuwahi jua kwamba Rais Samia ana misemo yenye mafumbo magumu kiasi hiki.

Wakuu wa Mashirika ya Umma waambiwa mambo ya Nguru,Sasa hiyo Nguru ndio nini? 👇👇
Screenshot_20250204-192415.jpg
 
Engeza nikamwambia Katibu Mkuu Engeza vijana pale Utumishi PSRS vijana wapewe ajira wasiwe wanazagaa mitaani bila ajira vyuo vinajengwa kwa gharama kuengeza vijana wenye ujuzi.... lakini na nyinyi vijana mjiajiri Serekali haezi kuajiri vijana wote wanao engezeka kila
Hilo nalo ni "jengine"...!
 
Nukuu hazina maajabu, nukuu tamu zinatagaka big brain bhn...nukuu zinazoishi kama za Nyerere, hata Mkapa.
Ila Jk, Bibi na JPM mmmh
 
Back
Top Bottom