Uzi wa Kuandika Nukuu Mbalimbali Kutoka Kwa Kinywa Cha Rais Samia

Hata Wadigo na Wasegeju hutamka hivyo.
Sikuwahi jua kwamba Rais Samia ana misemo yenye mafumbo magumu kiasi hiki.

Wakuu wa Mashirika ya Umma waambiwa mambo ya Nguru,Sasa hiyo Nguru ndio nini? πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hilo nalo ni "jengine"...!
 
Nukuu hazina maajabu, nukuu tamu zinatagaka big brain bhn...nukuu zinazoishi kama za Nyerere, hata Mkapa.
Ila Jk, Bibi na JPM mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…