mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Kwa hako kamwili, itabidi sigara bwege uache!Acha tuu Yaani sipati picha na kamwili kenyewe ingekuwa nusu soseji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hako kamwili, itabidi sigara bwege uache!Acha tuu Yaani sipati picha na kamwili kenyewe ingekuwa nusu soseji
Ha! Ina maana alikufanyia makusudi Mkuu?!Nilisimamia ubatizo wa fisi nikidhani mtoto,sitamsahau yule mama wa mtoto
Lol sijawahi hata kutest ladha izi mbwembwe tuu za nyuma ya keyboardKwa hako kamwili, itabidi sigara bwege uache!
Nirudusha asubuhi kwenye kitanda chake mkuuIkawaje sasa na ile pete. Ulisepa nayo?
Hahaha kaka yangu pole sana hivi visa aise nafurahia apa masimulizi ila usiku inakua patashika nguo kuchanika[emoji1], but ninavosikia ni kwamba kama hutoamini hayo mambo then inakua vigumu sana kudhurika ila mpaka uwe na imani kali kweliWalozi sio watu wazuri kabisa. Kuna mkasa mwingine nilikutana nao miaka hii ya 2000s. Mimi huwa napenda sana kurudi home usiku au hata nikisafiri nifike sehemu usiku ili asubuhi watu washtukie niko mtaani.
Sasa siku moja nimetoka mizunguuko yangu ya kawaida ilikuwa Moro hiyo. Mida ya saa tano usiku narudi home huku nawaza ntawaambia wazee sababu gani ya kuchelewa. Maana walikuwa sheria saa tatu nisiwe nje ya nyumba.
Sasa nikawa nakaribia nyumbani, na kwa macho napaona ila hakuna njia ya mkato ya kupita bali kuna kauchochoro kakuzunguuka ndio utokee njia kubwa ndio uingie ndani.
Nikawa nakiwaza hicho kichochoro maana kina simulizi mbovu kweli, nikapiga Moyo konde ila nikaamua kuongeza spidi ili nivuke ilo eneo haraka.
Basi nikachanganya mwendo balaa huku nywele na mwili wote unanisisimka. Ile nimefika katikati ya kile kichochoro, hamad! Nikakutana na kitu ambacho hadi leo sijakielewa, kwamba kilimaanisha nini? siku itabidi nimuulize Mshana Jr.
Nilikuta bonge la kinu cha kutwangia kimewekwa katikati ya ile njia. Ni Mungu tu alinilinda, maana kwa ile spidi ningekivaa tu!! Niliogopa sana, ila akili ilifanya kazi haraka, nikapita kwa pembeni. Hiyo spidi niliyotoka nayo hapo, hata bombadier isingefua dafu. Sikuwasimulia nyumbani hadi nilipokuwa nimeanza maisha yangu, maana ningekula hamsa vilevile na uhenga wangu.[emoji28]
hawali ila wana hasira sana na kiumbe kinaitwa binadam,unajua kiboko akiwa kwenye maji huwa hana shida ila akiwa nje anahisi security yake iko kwenye risk sana,kwa hiyo wakiwa njee yoyote ni addui,yaani huyu walimuacha kwa kuwa walikuwa wengi,wakiwa kwenye kampani sio hatari sana,Hahaa dah kweli we ganja gal, ashukuriwe mungu, kwani viboko wanakula watu?
Sio makusudi ila jamii ya wasukuma haitkuja kuacha uchawi,na hata makanisa ya kule huwezi pewa usimamie kama damu yako haijamix na mazaga mengine,mana cha ajabu padri alitutambua na akatuchomoa mapema bila hata ugomvi na hatukuwa peke yetu mana Kuna wiliokutwa na mbuzi na mawanyama wengine wa ajabu tu ila wenyewe hata kushtuka hakunaHa! Ina maana alikufanyia makusudi Mkuu?!
Aise umenitisha by the way naogopa sana viboko ata appearance yao, meno yao yana sumu kwanini? Au ni kwasababu ya bacterias? Ganja gal ashukuru sana Mungu wakehawali ila wana hasira sana na kiumbe kinaitwa binadam,unajua kiboko akiwa kwenye maji huwa hana shida ila akiwa nje anahisi security yake iko kwenye risk sana,kwa hiyo wakiwa njee yoyote ni addui,yaani huyu walimuacha kwa kuwa walikuwa wengi,wakiwa kwenye kampani sio hatari sana,
Tulikuja stuka tunachomolewa kwenye foleni na kuamriwa tutoke eneo LA kanisa mara moja,nkimuuliza nini tatizo yule maza hata majibu aliyokuwa ananipa hayaeleweki na mbaya zaidi waliochomolewa walikuwa kibao ila kichwa kiliuma niliposikia padri anaongea kwa upole Yesu alikataa kujaribiwa tuache Tabia za ajabu.me nkaona nisepe na kijiji nkawaachia show yao ila ubatizo uliendelea na watu wala hawakustuka yan kama MTU kaanguka kifafa,na mi nlikuja kujua kesho yake kama nimebeba fisi bila kujuaDuh aise ikawaje , huyo mama nini kikampata baada?
Ndio hivyo Mkuu, dunia ina hekaheka hatari. Mpaka ufikie uhenga lazma upishane na mishale mingi. Ndio maana wanaita uwanja wa fujo.Hahaha kaka yangu pole sana hivi visa aise nafurahia apa masimulizi ila usiku inakua patashika nguo kuchanika[emoji1], but ninavosikia ni kwamba kama hutoamini hayo mambo then inakua vigumu sana kudhurika ila mpaka uwe na imani kali kweli
Hatari asee, kuna matukio mengine yanatokeaga kukuaminisha kweli Mungu yupo.Acha tuu Yaani sipati picha na kamwili kenyewe ingekuwa nusu soseji
Nilisimamia ubatizo wa fisi nikidhani mtoto,sitamsahau yule mama wa mtoto
Nna puli mbili, vipi hutaki kutaste stim ya ganja?Lol sijawahi hata kutest ladha izi mbwembwe tuu za nyuma ya keyboard
Hahaha mkuu una mikasa baraa,,[emoji1][emoji1] eti ungekula hamsa na uhenga wako,,inaelekea ding alikua mtata kinomaWalozi sio watu wazuri kabisa. Kuna mkasa mwingine nilikutana nao miaka hii ya 2000s. Mimi huwa napenda sana kurudi home usiku au hata nikisafiri nifike sehemu usiku ili asubuhi watu washtukie niko mtaani.
Sasa siku moja nimetoka mizunguuko yangu ya kawaida ilikuwa Moro hiyo. Mida ya saa tano usiku narudi home huku nawaza ntawaambia wazee sababu gani ya kuchelewa. Maana walikuwa sheria saa tatu nisiwe nje ya nyumba.
Sasa nikawa nakaribia nyumbani, na kwa macho napaona ila hakuna njia ya mkato ya kupita bali kuna kauchochoro kakuzunguuka ndio utokee njia kubwa ndio uingie ndani.
Nikawa nakiwaza hicho kichochoro maana kina simulizi mbovu kweli, nikapiga Moyo konde ila nikaamua kuongeza spidi ili nivuke ilo eneo haraka.
Basi nikachanganya mwendo balaa huku nywele na mwili wote unanisisimka. Ile nimefika katikati ya kile kichochoro, hamad! Nikakutana na kitu ambacho hadi leo sijakielewa, kwamba kilimaanisha nini? siku itabidi nimuulize Mshana Jr.
Nilikuta bonge la kinu cha kutwangia kimewekwa katikati ya ile njia. Ni Mungu tu alinilinda, maana kwa ile spidi ningekivaa tu!! Niliogopa sana, ila akili ilifanya kazi haraka, nikapita kwa pembeni. Hiyo spidi niliyotoka nayo hapo, hata bombadier isingefua dafu. Sikuwasimulia nyumbani hadi nilipokuwa nimeanza maisha yangu, maana ningekula hamsa vilevile na uhenga wangu.[emoji28]
Si unajua madingi waliosoma enzi za Mwalimu? Hakawii kukwambia "shika chini!"[emoji28] ila hata hivyo nilikuwa mtundu mno na mpenda kutembea sana usiku! Hata nnapojibu hii post niko mbali na home! Kuna kisa kingine cha ajabu, ila hicho nilikifanya mimi.[emoji23]Hahaha mkuu una mikasa baraa,,[emoji1][emoji1] eti ungekula hamsa na uhenga wako,,inaelekea ding alikua mtata kinoma
Angalia uskutane tena na kinu mzee [emoji16][emoji16][emoji16]Si unajua madingi waliosoma enzi za Mwalimu? Hakawii kukwambia "shika chini!"[emoji28] ila hata hivyo nilikuwa mtundu mno na mpenda kutembea sana usiku! Hata nnapojibu hii post niko mbali na home! Kuna kisa kingine cha ajabu, ila hicho nilikifanya mimi.[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] njia nnayopita sasa haina vichochoro. Alaf napanda tororoooo!!Angalia uskutane tena na kinu mzee [emoji16][emoji16][emoji16]