Uzi wa kufundishana maisha ya Jela na selo

Maniner walahi
 
Wewe ni Muuaji,yeye alikuwa anatumia viungo vyake wewe unakereka Nini Hadi umuue?
We kakwambia nani,mtoto wa kiume unamfulia mashuka mwanaume mwenzio,halafu ukiulizwa kitu chochote unanitaja mimi!!
Maana yake nini alitaka masela waje waniombe mpango...

Njaa zake na urafi ndo vilifanya afe....mwanaume unashikwa matako na unaambiwa unanukia mbunye halafu unakeneka tu
 
Iwe ulikusudia ama kwa bahati mbaya ila ujue ulifanya poa sana. Mashoga ni watu ninao wachukia sana yaani una pelekewa moto kwenye haja kubwa huo ni ufusika sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
 
Dahhh!umepitia vingi.
 
Kama hilo wanaita NGWALA lipo milima ya chunya kama unaenda tabora(hii ni shortcut) gereza lipo katikati ya mbuga hata hamlindwi kama utaweza kimbia....
Naskia unavopelekwa gerezani njiani ni mafuvu tu...

Na kila baada ya mwezi wanachukuliwa wafungwa kadhaa wanapelekwa kuongeza nguvu(escoter)....
Ili ubaki inatakiwa uhonge 100k kila inapokuja escoter..,asikwambie mtu huwa wanalia watu(hawataki kwenda na hela ya kuhonga hawana) kama watoto muulize mtu anaepasikia ngwala akwambie..

NB:LILIJENGWA NA WAKOLONI KAMA MAXMUM SECURITY KIPINDI HIKO...kwa wafungwa wasumbufu..
 
Yote hayo umekaa wewe?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jf kuna wandewa tunawachukulia poa
 
Hivi magereza ya Bongo huwezi fanya mautundu kama yale ya Michael Scofield?
 
Hivi magereza ya Bongo huwezi fanya mautundu kama yale ya Michael Scofield?
Hapana,haiwezekani miundombinu bado ni duni sana maybe uvunje kwa kutumia nguvu...ndio maana wengi wanatoroka tym mpo kazini,mahakamani au wakiwa escoted...
ujanja jela ni kutengeneza meno bandia kwa kutumia 200(shilingi) halafu ubadirishane na wali canteen.

NB:FENCE YA JELA NI ZEGE,NONDO NA CEMENT TU... Sasa kama utaingia na drill labda utafanikiwa kuvunja....
JIKO LA JELA HALIJAWAHI ZIMWA NA HALITOZIMWA KAMWE...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…