batmanwafez
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 882
- 1,346
Jela ni jeraha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo..huyo bibi ni gwiji la kesi...sasa uyo jamaa alifungwa alafu ndio ndugu zake washastuka mwishoni.. ikabidi waende kwa bibi..akawapa dawa wakaweka kwenye...... Ikafika kwa muhusika..kilichofata historia mazafakaHiv hizi inshu za uganga za namna hii kumbe zipo? Sema inshu hao wa namna hiyo ndio mtihani haswa.
Kuna ubabe wa kifala sana.Ukiishi mule ndani 2weeks...una adopt mazingra na unakua mnyama kabisa...ustaarabu unarudi mwezi wa RAMADHANI pekee..ila kwa muslim pekee
AiseeSay God forgive me............huko hakuna baunsa........jail kamuulize mandela nusu atoe ndogo..........
Chanzo cha 2Pac kumdiss Chino XLSay God forgive me............huko hakuna baunsa........jail kamuulize mandela nusu atoe ndogo..........
Ila kuna jamaa aliwahi kusema gereza hatari Africa namba moja lipo Nigeria hilo gereza Africa nzima ni kiboko yaan Jehanamu ikasome ni sawa umeongizwa kuzimu, nimesahau jinaKama hilo wanaita NGWALA lipo milima ya chunya kama unaenda tabora(hii ni shortcut) gereza lipo katikati ya mbuga hata hamlindwi kama utaweza kimbia....
Naskia unavopelekwa gerezani njiani ni mafuvu tu...
Na kila baada ya mwezi wanachukuliwa wafungwa kadhaa wanapelekwa kuongeza nguvu(escoter)....
Ili ubaki inatakiwa uhonge 100k kila inapokuja escoter..,asikwambie mtu huwa wanalia watu(hawataki kwenda na hela ya kuhonga hawana) kama watoto muulize mtu anaepasikia ngwala akwambie..
NB:LILIJENGWA NA WAKOLONI KAMA MAXMUM SECURITY KIPINDI HIKO...kwa wafungwa wasumbufu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ole wako..utapigwa chuma ya kisogo...ingawa wapo watu wanatoroka....ishatokea jamaa alitoroka jela kwakua alikua ameaminiwa sababu alikua amebakizA mda mdogo kutoka..sasa mfungwa akitoroka askari anashushwa cheo kimoja..sasa uyo askari akaenda kwa mganga wa vitabu..jamaa alivutwa kishirikina akaenda adi mji wenye gereza akashikwa kama kuku[emoji51][emoji51][emoji23][emoji23]...mmoja yeye alitoroka mchana wakati wa kula kama vumbi...hii ni jela moja kanda ya kati..huyu hakuwahi kushikwa maana mganga aliemsaidia ni hatari
Jino la shaba wanalipeleka wapi mkuu au wanatengeneza Funguo ya kutokea nje ya Jela? 😂 Njaa sio nzuri Jela daah plate moja ya wali kwa 200 ya shaba wakati huku mtaani plate moja 2000? Wapi kuna nafuu? Ndio maana kuna wahuni wakirudi wanaona bora wakinukishe warudi Jela tuTsh 200..hii ya karume,sasa ile shilingi unaikwangua mpaka inabaki shaba tupu..then unaikunja size ya jino(kama zile za wasanii Wanaweka mdomoni) GOLD SLUG...
jino moja kwa plate moja ya ubweche.
Isisi rujewa[emoji2]Nakumbuka 2019,nilikua mahabusu pale ISISI gerezani,sasa wakati tunasubiri kupewa jezi(zile za orange) na kukaguliwa,TV ilikua imewashwa tunaangali kuna jamaa alikuja dirishani akasema.
"rasta rasta huo umeme wa magufuli rasta haaya,mtaulipia rastaa"
aliongea kwa uchungu na tuliulipia kweli dadeki..