Uzi wa kuichukia na kuilaani taifa stars kuelekea AFCON

Uzi wa kuichukia na kuilaani taifa stars kuelekea AFCON

Binafsi kwa sasa sijivunii utanzania hivyo jambo lolote linalo ihusu Tanzania kama taifa naliombea mabaya. Naanzia mashindo ya AFCON.
Mkuu hatuwezi kuchoma nyumba kisa redio inasumbua.

Taifa Stars ni kichwa cha mwendawazimu, kila mtu anajifunzia kunyoa - by Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi (R.I.P).

SIUNGI MKONO HOJA.

Tanzania ndio nyumbani, hatuna pengine kwa kukimbilia.

Be a Man, Hate the game not the Player.
 
Naombea wakanyagwe miguu ivunjike na wafanyiwe faulo mbayambaya, marefa wapendelee timu pinzani na tufungwe magoli shindili ya kutosha. Wakishambulia ziwe offside, wapigwe red cards za kutosha na ikibidi wapigane wachezaji wenyewe kwa wenyewe uwanjani iwe aibu kuu kabisa
 
Binafsi mimi naamini kitu chochote au mtu yeyote ambaye anajihusisha na shetani samia kwanzia sasa lazima aandamwe na mikosi na mabalaha kwenye kila analolifanya...

....hivyo basi hata hii timu a.k.a kichwa cha mwendowazimu huko Morocco hakuna cha maana itakachokifanya zaidi ya kutoka na furushi la magoli. Baada ya mechi tatu tu watarudi hapa kimya kimya bila taarifa kama wamekimbia fumanizi.
 
Binafsi kwa sasa sijivunii utanzania hivyo jambo lolote linalo ihusu Tanzania kama taifa naliombea mabaya. Naanzia mashindo ya AFCON. MUNGU naiombea Tanzania isipate hata goli moja bali vipigo vitakatifu kwa mechi zote AMINA.
Utakua ***** sio bure.
Nyie mulisema munasusia kila kitu hapa nchini, kuanzia muziki mpaka mpira, sasa hiyo hoja ya kuiombea mabaya,Timu yetu ya mpira unaitoa wapi?
Tukisema vijana wa Gen-z ni machoko musio na misimamo tuwe tunaeleweka.
Nyie endeleeni kususia, sisi wazalendo na wapenda soccer hapa nchini tutaendelea kuiunga mkono timu yetu pendwa.
 
Back
Top Bottom