Uzi wa kuichukia na kuilaani taifa stars kuelekea AFCON

Binafsi kwa sasa sijivunii utanzania hivyo jambo lolote linalo ihusu Tanzania kama taifa naliombea mabaya. Naanzia mashindo ya AFCON. MUNGU naiombea Tanzania isipate hata goli moja bali vipigo vitakatifu kwa mechi zote AMINA.
Dah!kuilaani tena!!!! Na kuichukia?
Ahahah
 
Binafsi kwa sasa sijivunii utanzania hivyo jambo lolote linalo ihusu Tanzania kama taifa naliombea mabaya. Naanzia mashindo ya AFCON. MUNGU naiombea Tanzania isipate hata goli moja bali vipigo vitakatifu kwa mechi zote AMINA.
Hao Taifa Star hata wasikusumbue kichwa. Watafungwa mechi zote.
Kwanza huko AFCON hakuna kutengeneza matokeo kama walivyofanya Oct 29.
 
Timu Taifa stars tujuane mapema, huko mbele hatutaki shobo.
 
Majirani Uganda wanapointi zetu t moja,tushindwe sisi tu, ila Nigeria na Tunisia hapo ndo mtiti, labda wachezaji wafie uwanjani, lakini tukumbuke wachezaji wanatafuta ugali wao tusiwaombe mabaya na kuwabebesha misalaba/mizigo isiyowahusu ya Viongozi au Wanasiasa wetu wengi uchwara
 
Binafsi kwa sasa sijivunii utanzania hivyo jambo lolote linalo ihusu Tanzania kama taifa naliombea mabaya. Naanzia mashindo ya AFCON. MUNGU naiombea Tanzania isipate hata goli moja bali vipigo vitakatifu kwa mechi zote AMINA.
Hii ni kwasababu gani?
 
Wakishinda wanakuja na slogans za goli la mama mara ooh timu ya mama hivyo basi hata wakigawa utamu wa-flow mulemule kuwa wamegawa utamu wa mama.
 
Jana imebidi mapoyoyo wenyewe Yanga na Simba wakiongozwa na wapiga domo wao wakuu wacheze kuhamasisha
 
Maadui wa Taifa letu huko mulipo hamuamini mulicho kiona.
Hata hamu ya kupost humu hamuna, kenge nyie.

Uichukie Taifa stars, we ni nani hasa?
Mtu huliingizi chochote Taifa lako, kazi kukaa kijiweni kupeana umbea tu alafu unakuja hapa eti tuiombee mabaya timu yetu ya Taifa, wewe nani?
Sasa hao mabaasha zenu wataenda kuhadithiana walicho kiona.
 
Kwani huko kwenu mechi bado inaendelea, stars wakisawazisha nistue.
 
Bahati yako umeandika kwa heshima.
Sema nini, dogo janja, fanya kazi acha kulia lia, maisha hayana huruma na mtu mvivu.
Hata ukisusia kushabikia timu yetu

Bahati yako umeandika kwa heshima.
Sema nini, dogo janja, fanya kazi acha kulia lia, maisha hayana huruma na mtu mvivu.
Hata ukisusia kushabikia timu yetu ya Taifa haisadii kitu, chamsingi hama hapo kwa dada yako, maana siku akiachika itakua sio poa.

Njoo mgodini tuchimbe madini achana na wanasiasa uchwara wasio itakia mema nchi yetu.

Maadui wa Taifa letu huko mulipo hamuamini mulicho kiona.
Hata hamu ya kupost humu hamuna, kenge nyie.

Uichukie Taifa stars, we ni nani hasa?
Mtu huliingizi chochote Taifa lako, kazi kukaa kijiweni kupeana umbea tu alafu unakuja hapa eti tuiombee mabaya timu yetu ya Taifa, wewe nani?
Sasa hao mabaasha zenu wataenda kuhadithiana walicho kiona.
Bichwa lako limejaa utoko instead of ubongo! ***** mnacho kijua ni wizi! Unadhani huko kuna akina Mwambegele wa kuiba ushindi?!
 
Tumeshapigwa game ya kwanza bado game mbili
 
Back
Top Bottom