ngulyabhule
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 344
- 712
TAWIRE!Binafsi kwa sasa sijivunii utanzania hivyo jambo lolote linalo ihusu Tanzania kama taifa naliombea mabaya. Naanzia mashindo ya AFCON. MUNGU naiombea Tanzania isipate hata goli moja bali vipigo vitakatifu kwa mechi zote AMINA.
Naombea wale za kutosha ili tuje kukiita #KICHAPO CHA MAMA#Hauna haja ya kupoteza nguvu zako Mkuu. Wakipata goli tu watashangilia, achana na kushinda, sababu uwezo haupo.
Ndugu humkomoi samuya unatukomoa wananchi, muombee kifo samuya na ndugu zake mbogambo
Kwa mawazo yako unadhani wao wakishinda watawashukuru watanzania au huyo mama Yao?!Ndugu humkomoi samuya unatukomoa wananchi, muombee kifo samuya na ndugu zake mbogamboga.
Mkuu hatuwezi kuchoma nyumba kisa redio inasumbua.Binafsi kwa sasa sijivunii utanzania hivyo jambo lolote linalo ihusu Tanzania kama taifa naliombea mabaya. Naanzia mashindo ya AFCON.
Mental case is real! (though it's informal too)MENTAL CASE IS REALLY
Wakishinda, tumeshinda sisi. wakimshukuru, hawatamshukuru kwa nia njema bali unafiki, hakuna asiyejua ni muuaji.Kwa mawazo yako unadhani wao wakishinda watawashukuru watanzania au huyo mama Yao?!
Utakua ***** sio bure.Binafsi kwa sasa sijivunii utanzania hivyo jambo lolote linalo ihusu Tanzania kama taifa naliombea mabaya. Naanzia mashindo ya AFCON. MUNGU naiombea Tanzania isipate hata goli moja bali vipigo vitakatifu kwa mechi zote AMINA.