Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Tutakuwa na uzi specia wa kumshukuru Mungu kwa kila jambo
Una lolote Mungu amekutendea usisite kuja kutoa ushuhuda ukaponya roho za watu
Neno linasema mshukuruni Mungu kwa kila jambo
Mungu wetu n Mungu wa sifa na shukran pale unapomshukuru nae anasimama kukupigania
Namshukuru Mungu kwa uhai nilionao na familia yangu na hasa huyu anaesoma hapa mpaka sasa yuko hai kwa uweza wake Mungu
Mungu awabariki.sana tena sanaaatu .tutakuwa tunatoa shukran na ushuhuda kila mwisho wa mwezi
Mbarikiwe sana