AmenSikustahili kuwa nilipo ,huyu Mungu wacha aitwe Mungu
Hahahaaa, mimi siyo Mrembo bana, chenye sinywi ni sumu tu [emoji1787][emoji1787]Unakunywaga ngumu hivyo mrembo?[emoji23]
😁😁😁Hahahaaa, mimi siyo Mrembo bana, chenye sinywi ni sumu tu [emoji1787][emoji1787]
Yani ukimfatilia post zake toka mwaka uanze yupo vzr sana....hahahahNilifikiri ni hii k vant ninakunywa ishakolea kumbe nimeona sahihi, kwa kweli tumpongeze ndugu yetu kwa mara ya kwanza kaandika post inasomeka, maana ni kati ya watu ambao nikifungua uzi nikakuta muanzishaji ni yeye sijisumbui kusoma maana najua lazima nitoke kapa
AmeeeeeenNamshukuru Mungu kwa kuwa ni kwa rehema zake sijaangamia, uaminifu wake ni mkuu sana🙏
Maombolezo 3:22-23
[22]Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii,
Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
[23]Ni mpya kila siku asubuhi;
Uaminifu wako ni mkuu.
🙏Hakika.....
I am Grateful thank you God.....🙏🙏🙏