Kufa sio tatizo ni nature perfectionNashukuru Mungu nipo hai.
Namshukuru Mungu kwa kunipa mume mwema na kunipa ndoa njemaTutakuwa na uzi specia wa kumshukuru Mungu kwa kila jambo
Una lolote Mungu amekutendea usisite kuja kutoa ushuhuda ukaponya roho za watu
Neno linasema mshukuruni Mungu kwa kila jambo
Mungu wetu n Mungu wa sifa na shukran pale unapomshukuru nae anasimama kukupigania
Namshukuru Mungu kwa uhai nilionao na familia yangu na hasa huyu anaesoma hapa mpaka sasa yuko hai kwa uweza wake Mungu
Mungu awabariki.sana tena sanaaatu .tutakuwa tunatoa shukran na ushuhuda kila mwisho wa mwezi
Mbarikiwe sana
Utazeeka tu na weweKajifunze uandishi kwanza.
[emoji817]Kufa sio tatizo ni nature perfection
Nilifikiri ni hii k vant ninakunywa ishakolea kumbe nimeona sahihi, kwa kweli tumpongeze ndugu yetu kwa mara ya kwanza kaandika post inasomeka, maana ni kati ya watu ambao nikifungua uzi nikakuta muanzishaji ni yeye sijisumbui kusoma maana najua lazima nitoke kapaMungu ni mwema sana ametoa kilema cha kuchapia mikononi mwako..mwaka huu umeanza vzr mno...
Mie shuhuda zangu ni nyingi mno..hazitoshi hapa na sijui nianze na ipi..lakini huyu Mungu yatosha tumshukuru.Tutakuwa na uzi specia wa kumshukuru Mungu kwa kila jambo
Una lolote Mungu amekutendea usisite kuja kutoa ushuhuda ukaponya roho za watu
Neno linasema mshukuruni Mungu kwa kila jambo
Mungu wetu n Mungu wa sifa na shukran pale unapomshukuru nae anasimama kukupigania
Namshukuru Mungu kwa uhai nilionao na familia yangu na hasa huyu anaesoma hapa mpaka sasa yuko hai kwa uweza wake Mungu
Mungu awabariki.sana tena sanaaatu .tutakuwa tunatoa shukran na ushuhuda kila mwisho wa mwezi
Mbarikiwe sana
Unakunywaga ngumu hivyo mrembo?😂Nilifikiri ni hii k vant ninayokunywa ishanikolea kumbe nimeona sahihi, kwa kweli tumpongeze ndugu yetu kwa mara ya kwanza kaandika post inayoeleweka, maana huwa ni kati ya watu ambao nikifungua uzi nikakuta muanzishaji ni yeye basi sijisumbui kusoma maana najua lazima nitoke kapa
Si utoe huo ukungu kwa hiyo Avatar jamani [emoji16][emoji16]Asante Mungu kwa kila kitu kwa mazuri ninayoyapitia na magumu pia wewe ni mwingi wa rehema [emoji120][emoji120]