Uzi wa kumshukuru Mungu kwa yale aliyokufanyia na anayoendelea kukufanyia

Asante muumba wangu Kwa Kila upendo na huruma unaonitendea
 
Yani ukimfatilia post zake toka mwaka uanze yupo vzr sana....hahahah
 
Namshukuru Mungu kwa kuwa ni kwa rehema zake sijaangamia, uaminifu wake ni mkuu sanaπŸ™

Maombolezo 3:22-23
[22]Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii,
Kwa kuwa rehema zake hazikomi.

[23]Ni mpya kila siku asubuhi;
Uaminifu wako ni mkuu.
Ameeeeeen
 
Ninamshukuru Mungu kwa kuwa bado ninayo hii zawadi ya uhai alonipa maana nimeponea ajali iliyoniweka ICU takriban wiki 3 na siku 4,nikawa sijitambui chochote kinachoendelea duniani miezi 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…