Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Uzi huu tuutumie kutakiana heri ya xmass na mwaka mpya wa 2023 wenye heri na fanaka tele. Uzi huu sio wa kidini wala hauna lengo la kuleta mijadala ya kidini just wishing happy new year and marry xmass au Noel.
 
Nawatakia kheri ya Christmas na mwaka mpya mwamba
Extrovert Mshana Jr Kalpana Victoire Bujibuji Simba Nyamaume mzee wa busara nakukubali sanamkuu

Pmj na Wana wengine wengi mno mnamchango mkubwa Sana kwangu kunibadilisha fikra zangu nawashukuru member wote billa kumsahau

Senior ,kamanda mkuu ,founder mkuu
@melo

Nawapenda San tuko bega kwa bega Hadi mwisho wa duniaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…