Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

Uzi huu tuutumie kutakiana heri ya xmass na mwaka mpya wa 2023 wenye heri na fanaka tele. Uzi huu sio wa kidini wala hauna lengo la kuleta mijadala ya kidini just wishing happy new year and marry xmass au Noel.
Mi nawatakia heri wadau wote pamoja na timu nzima ya wafanyakazi na menejiment ya jamiiforums ikiongozwa na mkurugenzi ndugu Mello.
 
Kwenye profile picture yako hiyo nundu ndio hiyohiyo ipo huko nyuma ya kibodi yako
 
Asante sana sis 😘😘😘 mi kusema kweli kama ujuavyo nmeagiza kile kilevi changu Arusha. Ntakua tu ndani muda wote hadi siku ntakaposikia sikukuu imeisha
Sana,sana wangu😘
 
Back
Top Bottom