Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

Happy New year kwa mke wa ujana wangu, tuliofunga ndoa siku ya ubatizo na kupata mtoto siku ya kipaimara Sky Eclat

Heri ya Christmas na Mwaka mpya kwa partner wangu wa mahaba bin sukari ya uzeeni yaliyoshindikana Kasie binti mahaba matata

Merry Christmas kwa mjukuu mtiifu nayesubiria kuchukua mahari makubwa kama bado ana bikira Joanah

Heri ya mwaka mpya kwa wapinzani wangu wote wasionitakia mema na wanaoharibu mishe zangu za ukaguzi....

Happy birthday ya Yesu kwa waungwana wote wananigongea ma-LIKEs kwenye posts zangu hata kama ni za kibwege

Nawatakia kifo chema wote wanaonigongea Dislike kwenye post zangu hata zile nilizotumwa na roho mtakatifu kuziandika

Nawatakia maisha marefu wajukuu wangu wote, wazee wenzangu, wala kitimoto wenzangu, wanywa K Vant wenzangu na watakatifu wenzangu

Nawaombea maisha marefu wachuchu wote watakaokubali kwa hiari yao kuja kwangu ili niwakague...

Babu narudi kitandani
 
Nawatakia kheri ya Christmas na mwaka mpya mwamba
Extrovert Mshana Jr Kalpana Victoire Bujibuji Simba Nyamaume mzee wa busara nakukubali sanamkuu

Pmj na Wana wengine wengi mno mnamchango mkubwa Sana kwangu kunibadilisha fikra zangu nawashukuru member wote billa kumsahau

Senior ,kamanda mkuu ,founder mkuu
@melo

Nawapenda San tuko bega kwa bega Hadi mwisho wa duniaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wow,Asante sana na kwako pia ninakutakia heri ya christmass na mwaka mpya. Ubarikiwe sana .
 
Uzi huu tuutumie kutakiana heri ya xmass na mwaka mpya wa 2023 wenye heri na fanaka tele. Uzi huu sio wa kidini wala hauna lengo la kuleta mijadala ya kidini just wishing happy new year and marry xmass au Noel.
SAFARI HII IDs zako zote UTAZI EXPOSE. NI KAMA UMECHANGANYIKIWA. TATIZO NINI? Genta nenda kamwone Mtaalamu wa Afya
 
Happy New year kwa mke wa ujana wangu, tuliofunga ndoa siku ya ubatizo na kupata mtoto siku ya kipaimara Sky Eclat

Heri ya Christmas na Mwaka mpya kwa partner wangu wa mahaba bin sukari ya uzeeni yaliyoshindikana Kasie binti mahaba matata

Merry Christmas kwa mjukuu mtiifu nayesubiria kuchukua mahari makubwa kama bado ana bikira Joanah

Heri ya mwaka mpya kwa wapinzani wangu wote wasionitakia mema na wanaoharibu mishe zangu za ukaguzi....

Happy birthday ya Yesu kwa waungwana wote wanainigingea ma-LIKE kwenye posts zangu hata kama ni za kibwege

Nawatakia kifo chema wote wanaonigongea Dislike kwenye post zangu hata zile nilizotumwa na roho mtakatifu kuziandika

Nawatakia maisha marefu wajukuu wangu wote, wazee wenzangu, wala kitimoto wenzangu, wanywa K Vant wenzangu na watakatifu wenzangu

Nawaombea maisha marefu wachuchu wote watakaokubali kwa hiari yao kuja kwangu ili niwakague...

Babu narudi kitandani
Heri ya christmas na mwaka mpya kwako pia my one and only babu

Ai lav yu
 
Back
Top Bottom