Huyu bwana ,wakili msomi nampendaga Hana shobo very very smartWanajf wote Kheri ya Christmas na mwaka mpya in advance
Brother MALCOM LUMUMBA sio mbaya ukitoa mualiko pia [emoji16][emoji16]
Hutu mwamba nae namkubaligi Bab jDeepPond heri ya krismasi na mwaka mpya mtu wangu.
Nashukuru Sana ila uache kuinanga yanga ndio ugomvi wangu na wew unaanzia hapoSijaamini dokta kumbe unavyoniongelesha lugha ngumu mi nikajua hunikubali kumbe unanikubali hivyoo. I respect that....uwe na sikukuu njema pia mkuu
Merry Christmas to you my brother, hope you're doing well. Kama nikiwepo siku hiyo mwaliko nakupa tu ndugu yangu....Wanajf wote Kheri ya Christmas na mwaka mpya in advance
Brother MALCOM LUMUMBA sio mbaya ukitoa mualiko pia [emoji16][emoji16]
Sasa hapo shida ndo inapoanzia..tuvumiliane huko tukikutana kwingine mambo yanakua mazuriNashukuru Sana ila uache kuinanga yanga ndio ugomvi wangu na wew unaanzia hapo
Other wise much love and respect
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Much love brother.....[emoji111]Huyu bwana ,wakili msomi nampendaga Hana shobo very very smart
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mi nawatakia heri wadau wote pamoja na timu nzima ya wafanyakazi na menejiment ya jamiiforums ikiongozwa na mkurugenzi ndugu Mello.Uzi huu tuutumie kutakiana heri ya xmass na mwaka mpya wa 2023 wenye heri na fanaka tele. Uzi huu sio wa kidini wala hauna lengo la kuleta mijadala ya kidini just wishing happy new year and marry xmass au Noel.
Asante sana sis πππ mi kusema kweli kama ujuavyo nmeagiza kile kilevi changu Arusha. Ntakua tu ndani muda wote hadi siku ntakaposikia sikukuu imeishaClarra ,Bujibuji Simba Nyamaume ,The Icebreaker ,Demi ,mzabzab ,kolola ,Kalpana ,ndindwana ,DeepPond ,Bantu Lady ,@Analyse,Doctor G .....Mvuke salama bas watu wa Mungu.Msiende bar x-mass ...kunyweeni nyumbaniπ
Sana,sana wanguπAsante sana sis πππ mi kusema kweli kama ujuavyo nmeagiza kile kilevi changu Arusha. Ntakua tu ndani muda wote hadi siku ntakaposikia sikukuu imeisha
Inasadifu akili yake moja kwa moja jinsi gani imekuwa ya hovyo.Badilisha hiyo Avatar yako ya hovyo Sana.
Happy holidays bestie....Thank youπClarra ,Bujibuji Simba Nyamaume ,The Icebreaker ,Demi ,mzabzab ,kolola ,Kalpana ,ndindwana ,DeepPond ,Bantu Lady ,@Analyse,Doctor G .....Mvuke salama bas watu wa Mungu.Msiende bar x-mass ...kunyweeni nyumbaniπ
True say ππππππHuyu bwana ,wakili msomi nampendaga Hana shobo very very smart
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uzima upo brother, shukrani ππMerry Christmas to you my brother, hope you're doing well. Kama nikiwepo siku hiyo mwaliko nakupa tu ndugu yangu....