Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

Kwa rehema za mola wetu, niwatakie heri za kipekee kwa kufanikisha kufika mwaka mpya 2023, mola awajalie heri na baraka tele, nyota zenu za riziki na maisha kwa ujumla vikawe safi.

Amen.

Kichwamoto

Back
Top Bottom