Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Twakupenda pia demmis...sikukuu njema na kwako pia

JJ[emoji173]
 
Asante mama P.
Sikukuu njema wewe na familia yako.
 
Palantir
zitto junior
hearly
Malcom Lumumba
Nawatakia Pasaka njema wakuu, tumekua pamoja na tutakua pamoja kwa Upendo wake Mungu.. Tuzidi kusambaziana Knowledge. Nawakubali sana kaka zangu
Barikiweni!
-Leonardo Da...
asante sana Comrade"" asante mnooo kwa haya maneno mujarabu"" Mungu ajaalie malengo yako/Yetu yaweze kutimia pasipo uwepo wa vikwazo "" ......salute boss
 
Ndugu angu nilikua nimeandaa uzi ulioshiba hasa kuhusu hio kitu na some details kuhusu mada yako ya biblia. Nilipo i launche ile thread ikapelekwa jukwaa la dini na kuzawadiwa BAN ya wiki mpaka j5
Ila hamna shida till we are together..
L. Dav...
hahahaa eti ime zawadiwa.....kwann wanatufnyia hivi aisee"""
 
Ahsante sana mke ake Jr.

Mpende sana Jr na mimi pia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…