Mkuu nilikua nakusearch niangalie kama wameilift Ban yako lakini hata jina lako halitokei vipi umechange jina!?.Nawatakia Pasaka njema wakuu, tumekua pamoja na tutakua pamoja kwa Upendo wake Mungu.. Tuzidi kusambaziana Knowledge. Nawakubali sana kaka zangu
Barikiweni!
-Leonardo Da...
asante mkuu "" asante kwa hizi baraka...zirejeee kwako pia"" na zikupatie mafanikio chief mkuuKuna watu ambao michango yao humu ndani huwa inaniongezea maarifa na burudani!.. Wengine tumefahamiana kuweza kujuana na kubadilishana taarifa zaidi, Nawatakia Pasaka njema. Mbarikiwe sana katika Siku hii ya Leo!..
Asanteee zimefikaSenkyu malkia wa ulozi,nifikishie salamu zangu kwa ubavu wako,mwambie nimemmis sijamuona siku nyingi
Happy Easter mkuu.... ''Msalimie'' na Wick muulize anarejea lini jukwaaniKuna watu ambao michango yao humu ndani huwa inaniongezea maarifa na burudani!.. Wengine tumefahamiana kuweza kujuana na kubadilishana taarifa zaidi, Nawatakia Pasaka njema.
Mbarikiwe sana katika Siku hii ya Leo!..
Mods wapo kimya Mkuu!!..Happy Easter mkuu.... ''Msalimie'' na Wick muulize anarejea lini jukwaani
Ahsante sana, pasaka njema na kwako piaNawatakia pasaka njema moderators wote wa JF, pamoja na Maxence Melo na bwana Mike Mushi
Pia na Evelyn Salt
miss chaga
Honey Faith
Nawapenda sana, hawa ndugu.
Nimebaki na mmoja tuUtulie hapo hapo ndugu yangu mzigua anaweza kukuua kwa presha
Ahsante sana jirani. Ndio nimeamka hapa baada ya mishe zangu kwisha natia timu hapo.
Asante sana mrs.mshana jrNimechelewa kuwatumia salamu mnisamehe kwa hilo jamani majukumu ya ndoa yananipenda zaidi.
Nianze na mme wangu anayenifanya niwe na raha kwenye dunia hii Mr Mshana Jr jua nakupenda na ninakupenda sana tu mimi ni wako baba usiwe na shaka.
Pamoja na watu wangu wa nguvu wafuatao nawakubali sana
Kipenzi rafikiiii Mwifwa
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Cajojo
usser
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Na wengine wotee majina magumu jaman mnisamehe .
Hahah.. Ahsante ukinitumia tuu, hata picha la hilo pilau mi huku nilipo nishushie juice. NtafrahiiAhsante sana, pasaka njema na kwako pia
Karibu pilau
Hahah!! Shukrani sana mkuu naona umeniweka sambamba na mama la mamaNa penda kutuma salamu za pasaka kwa wafuatao
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Demiss na Mshana Jr
usser
Afande Mifwa
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Ahsanteni woote kwa upendo mnao nionesha nawakubali saaana wengine mmekuwa ndugu zangu kabsa humu.
Special thanks kwa ndugu zangu woote wa, threads za
Usiku wa manane -nna wathamini sana nyie watu
Hadithi zote za Shunnie
Real Madrid na Barcelona
Man utd na Juventus
Yanga
Mkuu Iceman 3D naona tayari kishatambua lile swala sasa acha nitumie nafasi hii kukutambulisha shemu wako ndio huyo aseeHaa haa inamaana skuhiz amekua
Soja wa get
Thanks sana. Nachana Nywele km maandalizi ya ibada!Nakutakia Pasaka njema!!
Hiyo avatar siielewi
Pasaka yangu ije kwako mtu wangupasaka njema kwa nimpendae na wanipendao
shukran Billie nawe uwe na pasaka njemaPasaka yangu ije kwako mtu wangu
Ila hujaniambia utaenda kutembea sikukuu wapi?shukran Billie nawe uwe na pasaka njema
Aisee kumbe alikuaga? Ila naona bado ana upendoMimi ex boo wake shemeji.