Zimefika my DadaShukurani kipenzi, msalimie p.
Nipo siku zote mbona!Duh ndo umeibukia pasaka na kukubali kwa fulsa
Aisee basi uzee unaniazia kwenye macho.Nipo siku zote mbona!
Haya toa location fasta nijeShukrani sana! Karibu nyumbani tule wote pasaka [emoji490] [emoji491] [emoji485]
Msha maliza msosi?Nawe pia mkuu..mimi na jj tunakutakia sikukuu njema
HahahaNaskia uliachiwa nyumba ukuwe mlinzi nyumba isibaki peke yake
NilifungaAsante iceman
Sijui milango ulifunga kweli???
HahahahHahah!! Shukrani sana mkuu naona umeniweka sambamba na mama la mama
Ewaa!Asante sana Iceman wa Ney
Uwe na pasaka njema wewe na wapendwa wako wote[emoji120][emoji120]
Nilifunga
Nikaja hapaa ila nikakuta usha ebda kuwajibika kwenye majukum mengine
HahahahaaHahaha
Braza kila siku ana niachia nilibde nyumba
Si ya kifamilia [emoji1]Hahahahaa
Majukumu tena?
Karibu jirani. Uje na tooth pics na limaoAhsante sana jirani. Ndio nimeamka hapa baada ya mishe zangu kwisha natia timu hapo.
Na kwako pia jirani iwe yenye wingi wa furaha tele.
Uwii ..u mean bajaji au?Njoo na miguu yako mitatu tu
Hahahaa. Jamaani jirani mwishowe si utaniambie nije na sahani kabisa lol. [emoji12] [emoji12]Karibu jirani. Uje na tooth pics na limao
Ahsante sana Mtani na kwako pia iwe yenye kila la kheri.
Amin mtani [emoji120] [emoji120] barikiwa sanaAhsante sana Mtani na kwako pia iwe yenye kila la kheri.