Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kule watu wanakuja na kupotea,ila ni uzi mzuri sana kwa walinzi kama sisi
 
Wewe toka umenifahamu uliwahi kuona nakulalamikia mimi ni mpweke au nna mawazo?, okey lets say niko single, kwani alo kwambia kuwa kwenye ndoa ni achevement nani? Mbona walio kwenye ndoa nao wana stress tupu! Ule uzi ni ndugu zangu wale, unavo tusema una achieve nini? Je wewe nikitaka ni ziquestion nyuzi zako na wasomaji wako unadhani siwezi? Utajiskia poa?
Kama una mtu una ugonvi naye kule deal naye yeye kama yeye dont drag my good people in your conclusions.

Ule uzi una beautiful people kama hau upendi usitu insult

Am angry!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wakunyumba huyu kaka namuelewaaaaa shida sheria mob. Mi bwana mpaka unifike hapaaa ndo ntaachana na haya maisha yangu ya Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…