Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Wewe kama hukeshi unahangaika na nini, na kwa taarifa yako hapa jf wanakesha watu kwenye nyuzi mbali mbali kwa nini usiwaseme hao, there we are family, tunapendana ambaye ana tu diss akae pembeni ila asitusema.
Acha hate ndugu yangu
Ice acha kuchukulia hizi mambo serious hivyo
 
Huyu hata sijui kama anajua hii. Sema ndo mahabaa lakini mweeee. Sheria mingiiii. Na kaona zile picha status kauliza kwahiyo uko huko [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mgande mpaka aje ndo atakua katengua kauli mi baba mizima kutucheka si jambo la kufumbia macho
Huku ni kupeana madharu bro
Kila mtu ana uzi wake kuna wengine wanaoenda MMU je mfano ikiwa nikiwahisi ni malaya ni lazima niseme? Si nna potezea tuu na nakuwa sichangii? maana hata kama nawatania ni jambo ambalo lina wagusa.

Uzi wetu uachweee!
 
Back
Top Bottom