Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Mefanyaje?We nawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mefanyaje?We nawe
Wewe uliamua mwenyewe na uliniacha mwenyewe kwahiyo mwache Davet apambane na mm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe huwa unapanick woiiiiWewe toka umenifahamu uliwahi kuona nakulalamikia mimi ni mpweke au nna mawazo?, okey lets say niko single, kwani alo kwambia kuwa kwenye ndoa ni achevement nani? Mbona walio kwenye ndoa nao wana stress tupu! Ule uzi ni ndugu zangu wale, unavo tusema una achieve nini? Je wewe nikitaka ni ziquestion nyuzi zako na wasomaji wako unadhani siwezi? Utajiskia poa?
Kama una mtu una ugonvi naye kule deal naye yeye kama yeye dont drag my good people in your conclusions.
Ule uzi una beautiful people kama hau upendi usitu insult
Am angry!!!
Shangaa na wewe halafu tupo chit chatUsichukulie serious hivyo bhana,mbona kama anatania
Mgande mpaka aje ndo atakua katengua kauli mi baba mizima kutucheka si jambo la kufumbia machoWewe toka umenifahamu uliwahi kuona nakulalamikia mimi ni mpweke au nna mawazo?, okey lets say niko single, kwani alo kwambia kuwa kwenye ndoa ni achevement nani? Mbona walio kwenye ndoa nao wana stress tupu! Ule uzi ni ndugu zangu wale, unavo tusema una achieve nini? Je wewe nikitaka ni ziquestion nyuzi zako na wasomaji wako unadhani siwezi? Utajiskia poa?
Kama una mtu una ugonvi naye kule deal naye yeye kama yeye dont drag my good people in your conclusions.
Ule uzi una beautiful people kama hau upendi usitu insult
Am angry!!!
Wewe kama hukeshi unahangaika na nini, na kwa taarifa yako hapa jf wanakesha watu kwenye nyuzi mbali mbali kwa nini usiwaseme hao, there we are family, tunapendana ambaye ana tu diss akae pembeni ila asitusema.Sasa mtu kama hauna stress carba unakeshaje jamani jf kwenye uzi wa usiku mnene
Yupi sasa ni yule waKweli wakunyumba huyu kaka namuelewaaaaa shida sheria mob. Mi bwana mpaka unifike hapaaa ndo ntaachana na haya maisha yangu ya Dar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio kwa Davet nitauwa ndugu yangu mchukue Samaritan
Pole mwaya.
Khaaa iceman sitaki kuamini upo serious ninavyo kuheshimi acha nitokeWewe kama hukeshi unahangaika na nini, na kwa taarifa yako hapa jf wanakesha watu kwenye nyuzi mbali mbali kwa nini usiwaseme hao, there we are family, tunapendana ambaye ana tu diss akae pembeni ila asitusema.
Acha hate ndugu yangu
MxxiuueewwMgande mpaka aje ndo atakua katengua kauli mi baba mizima kutucheka si jambo la kufumbia macho
Siyo lazima uanzishe thread, unaongea hayo maneno yako mara nyingi tuu.Khaaaa lini niliwaandikia thread ha kuuponda ule uzi woiiiiii jamani ebu endeleeni na uzi wenu muwe na jamani kabisa
Aisee kabisaaa yani hem rudia niamini kama umenifyunyaMxxiuueeww
Nooo this is serious! Its my familyJf ukichukulia vitu serious utakufwa kabla ya siku zako
Usichukulie vitu serious hivyo shunie,jf hii utapata ugonjwa wa moyo bure.Picha ya ulinz ndio watu mnapanick basi kweli mpo na stress na maupweke mambo za chit chat unachukulia serious acha nilale mie D wangu tukalale
Iceman sikujuwa kama unachukulia serious woiiii naomba unisameheSiyo lazima uanzishe thread, unaongea hayo maneno yako mara nyingi tuu.
Leave us alone we will leave you alone pia
Achana na mm MangaAisee kabisaaa yani hem rudia niamini kama umenifyunya