Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Ohoooo usikonde watakao alikwa watakualika ngoja tuone mwishoHofu yangu ni sijaalikwa pilau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoooo usikonde watakao alikwa watakualika ngoja tuone mwishoHofu yangu ni sijaalikwa pilau
Ha haaa namimi nasubiri huo mualikoNilifikiri utanialika nije kufinya pilau
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Happy Easter MkuuMzee wa emoj tatu don mzaramo
yna12
cute b
Mwanaharakati Sky Eclat
hearly
baba swalehe
mahondaw na Smart911
ram
Mkuu Billie
Evelyn Salt
Mtu wangu wa nguvu Thad
hahahahahahIn short videmu vyangu vyote vilikuwa vyeupe mpaka leo huyu mama Chiku nae ni mweupe pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] khaaaaaMmmh umenisahau
Usipende mambo ya gizani.[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Shukran sana ngoja kagiza kaingie ha ha haa
[emoji8][emoji8] asante sana.Mzee wa emoj tatu don mzaramo
yna12
cute b
Mwanaharakati Sky Eclat
hearly
baba swalehe
mahondaw na Smart911
ram
Mkuu Billie
Evelyn Salt
Mtu wangu wa nguvu Thad
Shukurani kipenzi, msalimie p.Mimi , Mume wangu sumbai na mtoto wetu P ambaye ni zao la Jf tunawatakia pasaka njema ( kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo)
Wakati Yesu anafufuka akafufuke, na Afya zenu zilizozikwa na wachawi, Mali (mafanikio yenu) , vizazi na baraka zote. Amen.
Sakayo
Shunie
Madame S na B wake
espy
dark angel
usser
Madame B
Na wengine wote.
Msisahau kukaribia nyumbani pia.
Picha ya pilau kwa juice, kaka angu mpare nini ha ha haHahah.. Ahsante ukinitumia tuu, hata picha la hilo pilau mi huku nilipo nishushie juice. Ntafrahii
Shukurani mpenzi, uwe na sikukuu njema.Nimechelewa kuwatumia salamu mnisamehe kwa hilo jamani majukumu ya ndoa yananipenda zaidi.
Nianze na mme wangu anayenifanya niwe na raha kwenye dunia hii Mr Mshana Jr jua nakupenda na ninakupenda sana tu mimi ni wako baba usiwe na shaka.
Pamoja na watu wangu wa nguvu wafuatao nawakubali sana
Kipenzi rafikiiii Mwifwa
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Cajojo
usser
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Na wengine wotee majina magumu jaman mnisamehe .
Ohiii ha haaa kanifanyia kusudi huyu saa hizi ndo anatoa mualiko itabidi tu iwe gizani.Usipende mambo ya gizani.
Pasaka njema Manga ML
Duh ndo umeibukia pasaka na kukubali kwa fulsaShukurani kipenzi, msalimie p.