Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Jamani haujanikosea kitu hivi kweli mtu upo sawa utakesha jf usiku wote seriously una mke wako au mbebez wako anakupa kampani utakumbuka kukesha kule yaan kule ni masingle na deep mawazu mnisamehe tu jamani nawapenda nitakuja siku kuwatembelea nikiwa kiwanja nakesha
Shunie sisi wengine ni walinzi ujue
 
Shida hayupo wa ukweli ukweli. Mkaka mmoja hiviii tunapendana pendana ila anachokaa. Kila siku crush this crush that.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom