Uzi wa kupeana fursa za kazi na ajira

Uzi wa kupeana fursa za kazi na ajira

hahaha tuanzishe chama halafu tuvae tshirt za mama tukisema sisi majobless tunamuunga mkono mama basi viongozi tutaanza kupokea pesa na misaada na kutembea kifua mbele huku wanachama wakiwa wanalia na kusaga meno.
utasikia chama cha majobless kimechangia milion 70 kwa ajili ya kumchukulia form.
Mhhhhh hii inataka conection
 
No sio mlevi kwamba nililewa yaani Wana kipimo cha pombe sasa pombe nilikunywa nilivyokuwa off labda tuseme jana yake mchana mpaka jioni nimeamk niko sawa sina dalili ya hangover kufika job nashika kipimo kinalia Kama ndo natoka kunywa
Mkuu unajipima mwenyewe au unapimwa na wakina nani Hao wako serious sana hawataki mchezo ni wazungu Hao au,
 
Brow sie majobless hyo pesa tunaitoa wapi labda tuanzieshe mradi wa kutafutiana kazi ukipata anachangia chama
Mbona wakati upo job ulishindwa kusave..!!
Na wakati upo kazini, kwanini ulishindwa kuanzisha kitu kingine ukijua ipo siku kazi itaisha...??
 
Tatizo wabongo hatusaidiani hata kupeana fursa , waluofanikiwa wanakunyima password zao..wana haki mana utakuta nao hawakupewa kirahis..so mfumo wetu una misingi ya kunyimana tangu tulipoacha uchumi wa kijamaa..zamani tulilima kwa nguvu moja kwa zamu..ukiona huyu ana duka la spea za pkpk we unafungua butcher sio spea tena..yani kushindana sana hakukuwepo..sasa mtaa mmoja kaya 20 maduka 5 yote viberiti...ANYWAY nataka kusema ni ngumu kusaidiana sababu kila mtu anataka apate yeye sabab ya uchungu wa kutopata mda mrefu..lakin wengine ukiwapa connection kesho anataka kukuharibia ili wewe uwe chini..yani shido tu
 
Mhhhhh hii inataka conection
Mjini mipango mkuu... tumia kundi la watu kutimiza malengo. Ukiona vyama sijui vya nini hata vya siasa, ni watu fulani wameamua kutafuta wapambe ili wao watimize ndoto zao.
So, chama cha walimu wanaofaidi viongozi, chama cha majobless tutafaidi sisi.
 
Upo sahihi mkuu
 
Tatizo wabongo hatusaidiani hata kupeana fursa , waluofanikiwa wanakunyima password zao..wana haki mana utakuta nao hawakupewa kirahis..so mfumo wetu una misingi ya kunyimana tangu tulipoacha uchumi wa kijamaa..zamani tulilima kwa nguvu moja kwa zamu..ukiona huyu ana duka la spea za pkpk we unafungua butcher sio spea tena..yani kushindana sana hakukuwepo..sasa mtaa mmoja kaya 20 maduka 5 yote viberiti...ANYWAY nataka kusema ni ngumu kusaidiana sababu kila mtu anataka apate yeye sabab ya uchungu wa kutopata mda mrefu..lakin wengine ukiwapa connection kesho anataka kukuharibia ili wewe uwe chini..yani shido tu
Anza na mleta mada, alipo kua na kwenye mfumo alisaidia wangapi??
Huyu unaweza kuta hata ndugu zake wa karibu hakuwa msaada kwao and that's why he's suffering down town
 
Kuna SGA wamepewa kazi hyo ya kukagua wafanyakazi hakuna asiyepima sio bosi Wala muajiriwa kiufupi hawacheki na museng*
Kwanini uzidishe pombe wakati ukijua unatakiwa uende kazini??
Na unajua code off conducts inasemaje kuhusu alcohol test..
 
Brow nimeacha kunywa pombe saa 11 jioni nikijua kesho kazi lakini yote kwa yote pombe NI meanaharamu
Mimi ni mnywaji, na mining nimefanya karibu mwaka wa 25 huu.
Namjua miner vizuri na sheria za mining nazijua kijana.
Huku mtaani hua mnajiona kama mlionewa sawa.... wakati ninyi ndio mnakua mmevunja sheria.
Chakukushauri nenda ukafungue NSSF yako kisha anza kubuni biashara ya kufanya.
Lakini pia sheria ya kukamatwa na pombe GGM inakutaka ukae nje ya game kwa miezi walau sita then utaomba nafasi nyingine "hapo ndipo hua pagumu kwasababu inategemea kama ulikua na mahusiano mazuri"
 
Anza na mleta mada, alipo kua na kwenye mfumo alisaidia wangapi??
Huyu unaweza kuta hata ndugu zake wa karibu hakuwa msaada kwao and that's why he's suffering down town
Brow hakuna kuangalia nyuma pindi unapomsaidia mtu ukiniuliza mie wangapi nimewasaidia sikumbuki kwa sababu ninapo msaidia mtu huwa natamani kesho aje zaidi ya vile nilvyomkuta namaanisha nikikusaidia wewe ukiondoka tu mie nalifuta kwenye fikra za Kama hakijatokea kitu

Hata wewe usipime watu wote kwenye kipimio kimoja kila mtu na utashi wake alojaaliwa Kama sijakusaidia wapo niliwasaidia na siwezi kwenda kudai fadhila kilazima Kama nilimsaidia na yeye anisaidie hiyo sio kwli
 
Mimi ni mnywaji, na mining nimefanya karibu mwaka wa 25 huu.
Namjua miner vizuri na sheria za mining nazijua kijana.
Huku mtaani hua mnajiona kama mlionewa sawa.... wakati ninyi ndio mnakua mmevunja sheria.
Chakukushauri nenda ukafungue NSSF yako kisha anza kubuni biashara ya kufanya.
Lakini pia sheria ya kukamatwa na pombe GGM inakutaka ukae nje ya game kwa miezi walau sita then utaomba nafasi nyingine "hapo ndipo hua pagumu kwasababu inategemea kama ulikua na mahusiano mazuri"
Unaweza ukanisaidia ndugu katika Hilo bado natamani na nataka kurudi ndani
 
Brow hakuna kuangalia nyuma pindi unapomsaidia mtu ukiniuliza mie wangapi nimewasaidia sikumbuki kwa sababu ninapo msaidia mtu huwa natamani kesho aje zaidi ya vile nilvyomkuta namaanisha nikikusaidia wewe ukiondoka tu mie nalifuta kwenye fikra za Kama hakijatokea kitu

Hata wewe usipime watu wote kwenye kipimio kimoja kila mtu na utashi wake alojaaliwa Kama sijakusaidia wapo niliwasaidia na siwezi kwenda kudai fadhila kilazima Kama nilimsaidia na yeye anisaidie hiyo sio kwli
Haya ni majibu mepesi ya watu ambao hawajawahi kuwa msaada wanapo kua kwenye mfumo.
Kumsaidia mtu haihitaji shukurani, lakini sio jambo la kawaida "kujifanya eti ulisaidia wengi" na leo umewasahau.
Kumsaidia mtu kunaonyesha na kujenga mahusiano mazuri kwa watu wanao kuzunguka.
Tena inaonekana ulikua na mahusiano mabaya ndio maana hata wapo wengi ambao wanakamatwa lakini wanaambiwa wasimame pembeni na wanywe maji ikikata wanaruhusiwa kuingia job.
Kwakifupi wewe ulilewa na ukaingia kazini ukiwa under alcohol.
 
Unaweza ukanisaidia ndugu katika Hilo bado natamani na nataka kurudi ndani
Siwezi nikakusaidia, zaidi ya wewe ungesaidiwa kama ingekua unamahusiano mazuri na walio kuzunguka kabla haujafikia kuwa terminated.
 
Back
Top Bottom