Uzi wa kupeana fursa za kazi na ajira

Uzi wa kupeana fursa za kazi na ajira

Pesa ndogo sana, mimi nashauri u run ads campaigns Facebook na Instagram u targrt wafanyabiashara wa mikoa tajwa ila utapata matokeo mazuri zaidi ukianza na Dar (uipe campaign yake) na kampeni yapili uweke mikoa ya Dodoma, Arusha na Mwanza, yatatu uweke mikoa iliyosalia yote.
Nimefanya facebook ads kidogo sasa naona conversion ndogo. Nikaasume ni kutokana na target people hao wajasiriamali mfano waganga wa kienyeji, wasuka mikeka, waunda vyungu exposure ni ndogo ya mtandao. Ndo nnataka vijana wawasaidie

Nikahisi labda wanahitajika hao wajasiriamali kuongozwa na vijana ili wafungue accounts. Hata hivyo watakaoonesha interest tutajadili malipo wakiwa wameshaiona kazi linajadilika.
 
Back
Top Bottom