Uzi wa kupeana fursa za kazi na ajira

Uzi wa kupeana fursa za kazi na ajira

Haya ni majibu mepesi ya watu ambao hawajawahi kuwa msaada wanapo kua kwenye mfumo.
Kumsaidia mtu haihitaji shukurani, lakini sio jambo la kawaida "kujifanya eti ulisaidia wengi" na leo umewasahau.
Kumsaidia mtu kunaonyesha na kujenga mahusiano mazuri kwa watu wanao kuzunguka.
Tena inaonekana ulikua na mahusiano mabaya ndio maana hata wapo wengi ambao wanakamatwa lakini wanaambiwa wasimame pembeni na wanywe maji ikikata wanaruhusiwa kuingia job.
Kwakifupi wewe ulilewa na ukaingia kazini ukiwa under alcohol.
Sio hvo mkuu wapo waloniahidi na wapo wanaonipambania sehemu nyngne inshort fadhila huwezi ipata hapo hapo itakapo tokea fursa utingia Ila sasa hichi kipindi naishi vp huku nikisikilizia kurudi ndani
 
WAKUU HUU UZI MAALUMU WA MAJOBLESS

Wakutiana Moto na kufarijiana kwa yote tunayopitia vile vile kupeana fursa na taarifa kuhusu utafutaji kazi

NIANZE NA MIMI
Huu mwezi wa pili tangia nisimamishwe kazi nilipokuwa nafanya kazi NI mkoani geita geita gold kutokana na kashfa ya pombe nimerudi dar jua kali cjui naanzia wap karibuni wakuu

MWENYE fursa ya kazi anipe Mimi ni fundi magari
Pole sana kwa changamoto unazopitia mkuu, lakini ni muhimu kuzingatia kwamba bado kuna nafasi ya kufanikiwa na kujikwamua hata baada ya kupitia hali kama hizi. Ni vizuri kuwa na moyo wa uvumilivu na kuendelea kutafuta fursa mpya.

Kama fundi magari, unaweza kuzingatia baadhi ya mbinu hizi kwa sasa:

1. Kujiunga na vikundi vya mitandaoni au WhatsApp vinavyohusu fursa za kazi:

  • Kuna makundi mengi ya mitandaoni kama Telegram, Facebook au WhatsApp ambayo yanatoa taarifa za ajira au fursa kwa mafundi na wajasiriamali. Jiunge na haya makundi ili kuwa karibu na habari za kazi zinazoweza kukusaidia.
  • Pia unaweza kuangalia tovuti za ajira kama ZoomTanzania, AjiraLeo, au BrighterMonday kwa fursa za kazi.

2. Fanya matangazo ya huduma zako:

  • Ikiwa una vifaa vya msingi, unaweza kuanza kujitangaza kama fundi magari kwa jua kali au kupitia mitandao ya kijamii kama Instagram, Facebook, au hata JamiiForums.
  • Weka matangazo ya huduma zako kwenye sehemu zinazohusu magari, au kwenye vikundi vya magari mtandaoni.

3. Fursa za Mafunzo na Mitaji:

  • Jaribu kuwasiliana na mashirika au taasisi zinazotoa mafunzo ya ujasiriamali au mitaji midogo midogo kama NSSF, Sido, au Taasisi za Microfinance zinazoweza kukusaidia kuanzisha au kuendeleza biashara yako binafsi ya fundi magari.

4. Kazi za Siku kwa Siku au 'Part-Time':

  • Kwa sasa, unaweza kujaribu kutafuta kazi za siku moja moja (part-time) kama fundi magari, pengine kwenye gereji ndogo au hata mitaani. Kuna watu wanaohitaji fundi kwa matatizo madogo madogo ya magari yao.

5. Mitandao ya kijamii na mawasiliano binafsi:

  • Ongea na watu wako wa karibu, waambie kuhusu hali yako, unaweza kupata fursa kupitia marafiki, familia au hata wale uliowahi kufanya nao kazi.
Kumbuka, juhudi na uvumilivu ni mambo ya muhimu wakati wa changamoto. Usiache kutafuta na kujitangaza, na usisite kujaribu miradi mipya au fursa zinazojitokeza.
 
Mkuu unaweza nisaidia hata kwa sub contract huku nokisikilizia Chaka la kurudi ndani
Siwezi nikakusaidia kwasababu kama waliokua wanafanya kazi na wewe wamekutosa, basi jitahidi kujitazama vizuri mahusiani yako.
Namaanisha kwamba.....
Kama wanao kufaham hawaja kusaidia then mimi siwezi kukusaidia kwasababu inaonekana wazi kwamba ulikua unamahusiano mabaya na watu walio kuzunguka/uliokua unafanyanao kazi.
Kumbuka kuondolewa kazini kwa pombe hua ni mchakato mrefu na huchukua siku kadhaa hadi kuitwa hearing inaweza chukua hata wiki hadi nne.
Sasa katikati kipindi cha hiyo michakato lazima angetokea wa kukusaidia "kama ungekua unamahusiano mazuri"
 
Nashukuru mkuuu
 
Mkuu una

Mkuu samahani naweza nikaku pm kidog

Sasa katikati kipindi cha hiyo michakato lazima angetokea wa kukusaidia "kama ungekua unamahusia
Mkuu samahani naweza nikaku pm kidogo
 
Sio hvo mkuu wapo waloniahidi na wapo wanaonipambania sehemu nyngne inshort fadhila huwezi ipata hapo hapo itakapo tokea fursa utingia Ila sasa hichi kipindi naishi vp huku nikisikilizia kurudi ndani
Leo ndio unakumbuka utaishi vipi baada ya kitoka kwenye mfumo....🤨
Kama ulikua unakazi na pombe unalewa hauku kumbuka kama siku moja hiyo kazi itaisha na utaishije...☹️
Tatizo vijana mnajisahau sana mnapo kua kwenye mifumo mnakosa nidhamu ya kazi na pesa.
Minaona endelea kuvuna ulicho panda kwanza akili ikukae sawa.
Nitafute 2025 April nitakusaidia.
 
Mapito ya kawaida ya maisha, umepoteza kazi ila Kuna ambayo utaongeza na kujifunza. Usijali washikaji zako uliokuwa nao ukipiga mitungi wasipokee simu zako tena.

Maisha lazima yaendelee, utatoboa tu mkuu.
 
Mkuu Ushimen upo sahihi ni vyema kijana ajifunze.
Alafu eti heading anaandika "uzi wa kupeana fursa kazi na ajira".
Hapo anasahau kama hili wazo/uzi angeandika akiwa na ajira pengine leo hii asinge waza wala kulalamika ataishije kwasababu lazima wangemsaidia hata wachache alio wahi kuwasaidia.
Hapa alipaswa heading iseme "uzi wa kujikwamua tuliokua na ajira na sasa tumefukuzwa".
 
Pole sana kwa changamoto unazopitia mkuu, lakini ni muhimu kuzingatia kwamba bado kuna nafasi ya kufanikiwa na kujikwamua hata baada ya kupitia hali kama hizi. Ni vizuri kuwa na moyo wa uvumilivu na kuendelea kutafuta fursa mpya.

Kama fundi magari, unaweza kuzingatia baadhi ya mbinu hizi kwa sasa:

1. Kujiunga na vikundi vya mitandaoni au WhatsApp vinavyohusu fursa za kazi:

  • Kuna makundi mengi ya mitandaoni kama Telegram, Facebook au WhatsApp ambayo yanatoa taarifa za ajira au fursa kwa mafundi na wajasiriamali. Jiunge na haya makundi ili kuwa karibu na habari za kazi zinazoweza kukusaidia.
  • Pia unaweza kuangalia tovuti za ajira kama ZoomTanzania, AjiraLeo, au BrighterMonday kwa fursa za kazi.

2. Fanya matangazo ya huduma zako:

  • Ikiwa una vifaa vya msingi, unaweza kuanza kujitangaza kama fundi magari kwa jua kali au kupitia mitandao ya kijamii kama Instagram, Facebook, au hata JamiiForums.
  • Weka matangazo ya huduma zako kwenye sehemu zinazohusu magari, au kwenye vikundi vya magari mtandaoni.

3. Fursa za Mafunzo na Mitaji:

  • Jaribu kuwasiliana na mashirika au taasisi zinazotoa mafunzo ya ujasiriamali au mitaji midogo midogo kama NSSF, Sido, au Taasisi za Microfinance zinazoweza kukusaidia kuanzisha au kuendeleza biashara yako binafsi ya fundi magari.

4. Kazi za Siku kwa Siku au 'Part-Time':

  • Kwa sasa, unaweza kujaribu kutafuta kazi za siku moja moja (part-time) kama fundi magari, pengine kwenye gereji ndogo au hata mitaani. Kuna watu wanaohitaji fundi kwa matatizo madogo madogo ya magari yao.

5. Mitandao ya kijamii na mawasiliano binafsi:

  • Ongea na watu wako wa karibu, waambie kuhusu hali yako, unaweza kupata fursa kupitia marafiki, familia au hata wale uliowahi kufanya nao kazi.
Kumbuka, juhudi na uvumilivu ni mambo ya muhimu wakati wa changamoto. Usiache kutafuta na kujitangaza, na usisite kujaribu miradi mipya au fursa zinazojitokeza.
Kama post no 17 ilivyosema
 
Back
Top Bottom