Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Iyo 50k ya tshirt na ada ya kujiunga kwanini msichange kuanzisha mradi wa kibiashara?halafu mimi niwe mwenyekiti na kujiunga unatoa 50000 ili uweze kupata tshirt.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo 50k ya tshirt na ada ya kujiunga kwanini msichange kuanzisha mradi wa kibiashara?halafu mimi niwe mwenyekiti na kujiunga unatoa 50000 ili uweze kupata tshirt.
Haa sisi viongozi lengo ni kuwatumia kama fursa sio kuwapa fursa. Ukiitwa kwenye fursa jua wewe ndiye fursa.Iyo 50k ya tshirt na ada ya kujiunga kwanini msichange kuanzisha mradi wa kibiashara?
Sio hvo mkuu wapo waloniahidi na wapo wanaonipambania sehemu nyngne inshort fadhila huwezi ipata hapo hapo itakapo tokea fursa utingia Ila sasa hichi kipindi naishi vp huku nikisikilizia kurudi ndaniHaya ni majibu mepesi ya watu ambao hawajawahi kuwa msaada wanapo kua kwenye mfumo.
Kumsaidia mtu haihitaji shukurani, lakini sio jambo la kawaida "kujifanya eti ulisaidia wengi" na leo umewasahau.
Kumsaidia mtu kunaonyesha na kujenga mahusiano mazuri kwa watu wanao kuzunguka.
Tena inaonekana ulikua na mahusiano mabaya ndio maana hata wapo wengi ambao wanakamatwa lakini wanaambiwa wasimame pembeni na wanywe maji ikikata wanaruhusiwa kuingia job.
Kwakifupi wewe ulilewa na ukaingia kazini ukiwa under alcohol.
Ndo hapo sasaAnza na mleta mada, alipo kua na kwenye mfumo alisaidia wangapi??
Huyu unaweza kuta hata ndugu zake wa karibu hakuwa msaada kwao and that's why he's suffering down town
Pole sana kwa changamoto unazopitia mkuu, lakini ni muhimu kuzingatia kwamba bado kuna nafasi ya kufanikiwa na kujikwamua hata baada ya kupitia hali kama hizi. Ni vizuri kuwa na moyo wa uvumilivu na kuendelea kutafuta fursa mpya.WAKUU HUU UZI MAALUMU WA MAJOBLESS
Wakutiana Moto na kufarijiana kwa yote tunayopitia vile vile kupeana fursa na taarifa kuhusu utafutaji kazi
NIANZE NA MIMI
Huu mwezi wa pili tangia nisimamishwe kazi nilipokuwa nafanya kazi NI mkoani geita geita gold kutokana na kashfa ya pombe nimerudi dar jua kali cjui naanzia wap karibuni wakuu
MWENYE fursa ya kazi anipe Mimi ni fundi magari
Siwezi nikakusaidia kwasababu kama waliokua wanafanya kazi na wewe wamekutosa, basi jitahidi kujitazama vizuri mahusiani yako.Mkuu unaweza nisaidia hata kwa sub contract huku nokisikilizia Chaka la kurudi ndani
Nashukuru mkuuuPole sana kwa changamoto unazopitia mkuu, lakini ni muhimu kuzingatia kwamba bado kuna nafasi ya kufanikiwa na kujikwamua hata baada ya kupitia hali kama hizi. Ni vizuri kuwa na moyo wa uvumilivu na kuendelea kutafuta fursa mpya.
Kama fundi magari, unaweza kuzingatia baadhi ya mbinu hizi kwa sasa:
1. Kujiunga na vikundi vya mitandaoni au WhatsApp vinavyohusu fursa za kazi:
- Kuna makundi mengi ya mitandaoni kama Telegram, Facebook au WhatsApp ambayo yanatoa taarifa za ajira au fursa kwa mafundi na wajasiriamali. Jiunge na haya makundi ili kuwa karibu na habari za kazi zinazoweza kukusaidia.
- Pia unaweza kuangalia tovuti za ajira kama ZoomTanzania, AjiraLeo, au BrighterMonday kwa fursa za kazi.
2. Fanya matangazo ya huduma zako:
- Ikiwa una vifaa vya msingi, unaweza kuanza kujitangaza kama fundi magari kwa jua kali au kupitia mitandao ya kijamii kama Instagram, Facebook, au hata JamiiForums.
- Weka matangazo ya huduma zako kwenye sehemu zinazohusu magari, au kwenye vikundi vya magari mtandaoni.
3. Fursa za Mafunzo na Mitaji:
- Jaribu kuwasiliana na mashirika au taasisi zinazotoa mafunzo ya ujasiriamali au mitaji midogo midogo kama NSSF, Sido, au Taasisi za Microfinance zinazoweza kukusaidia kuanzisha au kuendeleza biashara yako binafsi ya fundi magari.
4. Kazi za Siku kwa Siku au 'Part-Time':
- Kwa sasa, unaweza kujaribu kutafuta kazi za siku moja moja (part-time) kama fundi magari, pengine kwenye gereji ndogo au hata mitaani. Kuna watu wanaohitaji fundi kwa matatizo madogo madogo ya magari yao.
5. Mitandao ya kijamii na mawasiliano binafsi:
Kumbuka, juhudi na uvumilivu ni mambo ya muhimu wakati wa changamoto. Usiache kutafuta na kujitangaza, na usisite kujaribu miradi mipya au fursa zinazojitokeza.
- Ongea na watu wako wa karibu, waambie kuhusu hali yako, unaweza kupata fursa kupitia marafiki, familia au hata wale uliowahi kufanya nao kazi.
OkWakutiana Moto
Mkuu samahani naweza nikaku pm kidogSiwezi nikakusaidia kwasababu kama waliokua wanafanya kazi na wewe wamekutosa, basi jitahidi kujitazama vizuri mahusiani yako.
Namaanisha kwamba.....
Kama wanao kufaham hawaja kusaidia then mimi siwezi kukusaidia kwasababu inaonekana wazi kwamba ulikua unamahusiano mabaya na watu walio kuzunguka/uliokua unafanyanao kazi.
Kumbuka kuondolewa kazini kwa pombe hua ni mchakato mrefu na huchukua siku kadhaa hadi kuitwa hearing inaweza chukua hata wiki hadi nne.
Sasa katikati kipindi cha hiyo michakato lazima angetokea wa kukusaidia "kama ungekua unamahusiano mazuri"
Mkuu samahani naweza nikaku pm kidogoSiwezi nikakusaidia kwasababu kama waliokua wanafanya kazi na wewe wamekutosa, basi jitahidi kujitazama vizuri mahusiani yako.
Namaanisha kwamba.....
Kama wanao kufaham hawaja kusaidia then mimi siwezi kukusaidia kwasababu inaonekana wazi kwamba ulikua unamahusiano mabaya na watu walio kuzunguka/uliokua unafanyanao kazi.
Kumbuka kuondolewa kazini kwa pombe hua ni mchakato mrefu na huchukua siku kadhaa hadi kuitwa hearing inaweza chukua hata wiki hadi nne.
Sasa katikati kipindi cha hiyo michakato lazima angetokea wa kukusaidia "kama ungekua unamahusia
Leo ndio unakumbuka utaishi vipi baada ya kitoka kwenye mfumo....🤨Sio hvo mkuu wapo waloniahidi na wapo wanaonipambania sehemu nyngne inshort fadhila huwezi ipata hapo hapo itakapo tokea fursa utingia Ila sasa hichi kipindi naishi vp huku nikisikilizia kurudi ndani
Usinitumie PM kwasababu nakujua vizuri na Issue yako naijua pia taarifa zako nilizipata vizuri.Mkuu una
Mkuu samahani naweza nikaku pm kidog
Mkuu samahani naweza nikaku pm kidogo
Nimeiupdate comment, rudi kaisome.Asante tupo tayar
Mkuu Ushimen upo sahihi ni vyema kijana ajifunze.Usinitumie PM kwasababu nakujua vizuri na Issue yako naijua pia taarifa zako nilizipata vizuri.
Kaa kwanza kitaa ujifunze then tutakusaidia baadae akili ikisha kukaa sawa.
Alafu eti heading anaandika "uzi wa kupeana fursa kazi na ajira".Mkuu Ushimen upo sahihi ni vyema kijana ajifunze.
Kama post no 17 ilivyosemaPole sana kwa changamoto unazopitia mkuu, lakini ni muhimu kuzingatia kwamba bado kuna nafasi ya kufanikiwa na kujikwamua hata baada ya kupitia hali kama hizi. Ni vizuri kuwa na moyo wa uvumilivu na kuendelea kutafuta fursa mpya.