INJECTION TECHNICIAN
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 356
- 794
- Thread starter
-
- #21
Mhhhhh hii inataka conectionhahaha tuanzishe chama halafu tuvae tshirt za mama tukisema sisi majobless tunamuunga mkono mama basi viongozi tutaanza kupokea pesa na misaada na kutembea kifua mbele huku wanachama wakiwa wanalia na kusaga meno.
utasikia chama cha majobless kimechangia milion 70 kwa ajili ya kumchukulia form.
Mkuu unajipima mwenyewe au unapimwa na wakina nani Hao wako serious sana hawataki mchezo ni wazungu Hao au,No sio mlevi kwamba nililewa yaani Wana kipimo cha pombe sasa pombe nilikunywa nilivyokuwa off labda tuseme jana yake mchana mpaka jioni nimeamk niko sawa sina dalili ya hangover kufika job nashika kipimo kinalia Kama ndo natoka kunywa
Mbona wakati upo job ulishindwa kusave..!!Brow sie majobless hyo pesa tunaitoa wapi labda tuanzieshe mradi wa kutafutiana kazi ukipata anachangia chama
Haha basi mimi ni mtu ambaye siko katika sekta rasmiBrow Kuna unga unga mwana siku ziende na Kuna jobless utofauti wao NI mdogo Sana
Mkuu huko ulikotoka zipo kazi mpaka uwe umesomea umeenda na cheti au inakuwaje,Mhhhhh hii inataka conection
Mjini mipango mkuu... tumia kundi la watu kutimiza malengo. Ukiona vyama sijui vya nini hata vya siasa, ni watu fulani wameamua kutafuta wapambe ili wao watimize ndoto zao.Mhhhhh hii inataka conection
Mawazo mazuri kama haya miner hua hana na anayaponda sana akiwa kwenye mfumo...😊Hyo NI kweli tujitahidi kujuana popote tulipo na kusaidiana mana kazi zipo kwa watu na watu wenyewe ndo sisi
Kuna SGA wamepewa kazi hyo ya kukagua wafanyakazi hakuna asiyepima sio bosi Wala muajiriwa kiufupi hawacheki na museng*Mkuu unajipima mwenyewe au unapimwa na wakina nani Hao wako serious sana hawataki mchezo ni wazungu Hao au,
Upo sahihi mkuuMjini mipango mkuu... tumia kundi la watu kutimiza malengo. Ukiona vyama sijui vya nini hata vya siasa, ni watu fulani wameamua kutafuta wapambe ili wao watimize ndoto zao.
So, chama cha walimu wanaofaidi viongozi, chama cha majobless tutafaidi sisi.
Anza na mleta mada, alipo kua na kwenye mfumo alisaidia wangapi??Tatizo wabongo hatusaidiani hata kupeana fursa , waluofanikiwa wanakunyima password zao..wana haki mana utakuta nao hawakupewa kirahis..so mfumo wetu una misingi ya kunyimana tangu tulipoacha uchumi wa kijamaa..zamani tulilima kwa nguvu moja kwa zamu..ukiona huyu ana duka la spea za pkpk we unafungua butcher sio spea tena..yani kushindana sana hakukuwepo..sasa mtaa mmoja kaya 20 maduka 5 yote viberiti...ANYWAY nataka kusema ni ngumu kusaidiana sababu kila mtu anataka apate yeye sabab ya uchungu wa kutopata mda mrefu..lakin wengine ukiwapa connection kesho anataka kukuharibia ili wewe uwe chini..yani shido tu
Kwanini uzidishe pombe wakati ukijua unatakiwa uende kazini??Kuna SGA wamepewa kazi hyo ya kukagua wafanyakazi hakuna asiyepima sio bosi Wala muajiriwa kiufupi hawacheki na museng*
Brow nimeacha kunywa pombe saa 11 jioni nikijua kesho kazi lakini yote kwa yote pombe NI meanaharamuKwanini uzidishe pombe wakati ukijua unatakiwa uende kazini??
Na unajua code off conditions inasemaje kuhusu alcohol test..
😄 🤣No sio mlevi kwamba nililewa yaani Wana kipimo cha pombe sasa pombe nilikunywa nilivyokuwa off labda tuseme jana yake mchana mpaka jioni nimeamk niko sawa sina dalili ya hangover kufika job nashika kipimo kinalia Kama ndo natoka kunywa
Mimi ni mnywaji, na mining nimefanya karibu mwaka wa 25 huu.Brow nimeacha kunywa pombe saa 11 jioni nikijua kesho kazi lakini yote kwa yote pombe NI meanaharamu
Brow hakuna kuangalia nyuma pindi unapomsaidia mtu ukiniuliza mie wangapi nimewasaidia sikumbuki kwa sababu ninapo msaidia mtu huwa natamani kesho aje zaidi ya vile nilvyomkuta namaanisha nikikusaidia wewe ukiondoka tu mie nalifuta kwenye fikra za Kama hakijatokea kituAnza na mleta mada, alipo kua na kwenye mfumo alisaidia wangapi??
Huyu unaweza kuta hata ndugu zake wa karibu hakuwa msaada kwao and that's why he's suffering down town
Unaweza ukanisaidia ndugu katika Hilo bado natamani na nataka kurudi ndaniMimi ni mnywaji, na mining nimefanya karibu mwaka wa 25 huu.
Namjua miner vizuri na sheria za mining nazijua kijana.
Huku mtaani hua mnajiona kama mlionewa sawa.... wakati ninyi ndio mnakua mmevunja sheria.
Chakukushauri nenda ukafungue NSSF yako kisha anza kubuni biashara ya kufanya.
Lakini pia sheria ya kukamatwa na pombe GGM inakutaka ukae nje ya game kwa miezi walau sita then utaomba nafasi nyingine "hapo ndipo hua pagumu kwasababu inategemea kama ulikua na mahusiano mazuri"
Haya ni majibu mepesi ya watu ambao hawajawahi kuwa msaada wanapo kua kwenye mfumo.Brow hakuna kuangalia nyuma pindi unapomsaidia mtu ukiniuliza mie wangapi nimewasaidia sikumbuki kwa sababu ninapo msaidia mtu huwa natamani kesho aje zaidi ya vile nilvyomkuta namaanisha nikikusaidia wewe ukiondoka tu mie nalifuta kwenye fikra za Kama hakijatokea kitu
Hata wewe usipime watu wote kwenye kipimio kimoja kila mtu na utashi wake alojaaliwa Kama sijakusaidia wapo niliwasaidia na siwezi kwenda kudai fadhila kilazima Kama nilimsaidia na yeye anisaidie hiyo sio kwli
Siwezi nikakusaidia, zaidi ya wewe ungesaidiwa kama ingekua unamahusiano mazuri na walio kuzunguka kabla haujafikia kuwa terminated.Unaweza ukanisaidia ndugu katika Hilo bado natamani na nataka kurudi ndani
Mkuu unaweza nisaidia hata kwa sub contract huku nokisikilizia Chaka la kurudi ndaniSiwezi nikakusaidia, zaidi ya wewe ungesaidiwa kama ingekua unamahusiano mazuri na walio kuzunguka kabla haujafikia kuwa terminatade