Pesa ndogo sana, mimi nashauri u run ads campaigns Facebook na Instagram u targrt wafanyabiashara wa mikoa tajwa ila utapata matokeo mazuri zaidi ukianza na Dar (uipe campaign yake) na kampeni yapili uweke mikoa ya Dodoma, Arusha na Mwanza, yatatu uweke mikoa iliyosalia yote.