Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

Ulipata wapi Mkuu tupe chimbo hilo
Kimara corner na uzuri unafika pale unaangalia ukiona hakuna unazotaka unaweka oda yako, zinakuwa zimevunjika kdg sn kwenye angle kitu ambacho sio issue sn maana mafundi zile hua wanazikata maaana ata hizo mpya ni lazima ukute zimevunjika na lazima zikatwe hakuna nyumba inakosa vipande vya tiles, so kwa sisi wa kuunga unga inafaa sn
 
Bei Rafiki ni bei gani mkuu? Nilipata 40*40 kwa 23 coz monalisa nilienda ni 31 na baadhi ya maduka kariakoo 26, 25*40 nilipata kwa 16 na bado nikapunguziwa maana nilichukua nyingi kiasi
Wapi huko boss ulipopata kwa hiyo bei?
 
Kwa mabati je yakiwa rejected inafaaa?????
 
Me tiles nauza aina zote..
Za box na reject
Kwa mfano..40*40 za box nauza 26500, 40*40 za reject ambzo ziko nje ya box nauza 22000
Uko wapi?
Weka mawasiloano basi.
 
Watu mnapeana michongo kimya kimya au hadi tuwafate inbox?

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
0622088300, location kimara corner, ukuomba ndg ndio maana hatukuweka location, so ww fika pale kaone mzigo kwanza, ila ni tiles nzr tu na pia hua ana mafundi wazuri sn wa tiles mie nimechukua hapo japo nitaendelea kuchukua maana naweka nusu nusu
 
Back
Top Bottom