rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Kimara corner na uzuri unafika pale unaangalia ukiona hakuna unazotaka unaweka oda yako, zinakuwa zimevunjika kdg sn kwenye angle kitu ambacho sio issue sn maana mafundi zile hua wanazikata maaana ata hizo mpya ni lazima ukute zimevunjika na lazima zikatwe hakuna nyumba inakosa vipande vya tiles, so kwa sisi wa kuunga unga inafaa snUlipata wapi Mkuu tupe chimbo hilo
Pale pale nilipokuelekeza mkuu?Shukran nimepata tiles kwa bei rafiki, tiles ni rejected but zipo kwenye hali nzr sn sn shukran sn
Wapi huko boss ulipopata kwa hiyo bei?Bei Rafiki ni bei gani mkuu? Nilipata 40*40 kwa 23 coz monalisa nilienda ni 31 na baadhi ya maduka kariakoo 26, 25*40 nilipata kwa 16 na bado nikapunguziwa maana nilichukua nyingi kiasi
Me tiles nauza aina zote..Wapi huko boss ulipopata kwa hiyo bei?
Yes hapo hapo mkuu shukran sn nilichukua mzigo wa kutosha pia najipanga tena kufata mzigo pale bei ni rafikiPale pale nilipokuelekeza mkuu?
Unataka kujenga?Uzi mzuri huu
Toen locationYes hapo hapo mkuu shukran sn nilichukua mzigo wa kutosha pia najipanga tena kufata mzigo pale bei ni rafiki
Mkuu upo wapMe tiles nauza aina zote..
Za box na reject
Kwa mfano..40*40 za box nauza 26500, 40*40 za reject ambzo ziko nje ya box nauza 22000
Uko wapi?Me tiles nauza aina zote..
Za box na reject
Kwa mfano..40*40 za box nauza 26500, 40*40 za reject ambzo ziko nje ya box nauza 22000
Kiwanda gan kaka kinatoa bei hyoChimbo la bati
30g upana 90cm/m Bei 11,000
Bati za bando 30g upana 80cm urefu 10ft
Kwa 22,000 tu
Kaka naombaHizi 4 by 2 nilinunua shs 4500 Buguruni
0622088300, location kimara corner, ukuomba ndg ndio maana hatukuweka location, so ww fika pale kaone mzigo kwanza, ila ni tiles nzr tu na pia hua ana mafundi wazuri sn wa tiles mie nimechukua hapo japo nitaendelea kuchukua maana naweka nusu nusuWatu mnapeana michongo kimya kimya au hadi tuwafate inbox?
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Ofisi zangu zipo chalinzeUko wapi?
Weka mawasiloano basi.