Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

Ila kuna watu mnahangaika aisee. Au ndo nyie mkija huku mnasema hamna Mungu. Aisee mtegemeeni Mungu jamani huku ndiko kwenye suluhisho
Na ajabu ,Bado wanatafuta waganga
Meaning hawajafanikiwa!
Ushirikina haijawahi muacha mtu salama,ye na familia
 
Na ukipenda sana waganga mwisho utavikwa nyota la kichawi huna Imani ndo maana visomo havifanyi kazi visomo vyataka subra sana matokeo huchelewa ila ilijibu imejibu wewe pendelea waganga utakuja na Uzi unaojuta kwenda kwa waganga kwanza wengine wanaishia kuiba nyota
Kabisa waganga ndo wezi wa nyota za watu wanaoenda huko
 
Dondoka Sumbawanga pale panda gari kuelekea Namanyele. Hapo unapewa Msharti ya kuchakata mbususu kadri uwezavyo. Sasa hakuna dem ambaye atakukataa maana kauli yako inakua amri kwake. Sasa. Muhim zaidi lazima uchukue Ute wa ndani ya uke Kisha ukaweke kwenye chupa. Fanya hivyo kwa Kila mwanamke. Sasa huyo mwanamke
Na wanawake sikuhizi wameshtuka
Nao washirikina balaa sbb wako kifedha
So,Ngoma droo!
Hakika , uzinzi na uasherati ni mbaya sana
 
Mnapoteza Muda tu
Mafanikio hamna
Maisha Magumu hayaishi
Haya mambo siamini kwa sababu tuu mazingira niliyokua na kuaminishwa uganga ni kitukibaya, lakini haya ndio mambo mababu zetu walikuwa wakifanya, mkoloni kaja katurisha sumu basi kila kitu chetu ni kibaya, mkoloni alituondoa kwenye reli na inawezekana kabisa babu zetu walikuwa na vitu vizuri kabisa
 
Logically hao wote watakua waongo. Sababu kama umekutana na "A" na akawa mzuri basi usingekua na haja ya kwenda Kwa B, C, D au E.

Au kama A alikua muongo ukaja kukutana na B mkweli basi ungeishia hapo hapo kwe B ukawa unamtumia tu huyo huyo
Kwa hiyo wewe ukila pisi kali ndio umemaliza na hutaki nyingine tena?
 
Kuna Mganga maeneo haya ya Nkome Geita anaitwa Mariam, huyu mama ni bigwa wa jutibu vichaa, binafsi kuna mtu wangu wa karibu alitibiwa kwa muda mfupi sana.
Nkome maeneo gani
Mtoto wa shangazi anmechanganyikiwa
Yupo katoro
 
Back
Top Bottom