Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 1,534
- 1,511
Uni quote mkuuIzi mambo za chuma ulete ni real.
siku nikipata muda ntaleta mikasa yangu apa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uni quote mkuuIzi mambo za chuma ulete ni real.
siku nikipata muda ntaleta mikasa yangu apa
Maana mm nilienda maana nilipoteza million 2 kwenye beer kumbe Kuna nyingine marafiki waliniibia jamaa ni mganga wa kuaminika Tanga akanieleza Kila kitu kimbembe ni hatari kunitajia aliniambia nitaona kwenye ndoto na mm nilikuwa narudi dar siku hiyo nikataka anitajie. Ila nishagombana nao wote sahivyi Nina kampani nyingine ya kunywaHuwa hawawezi kutaja ni fulani ndiye kafanya. Ukilazimisha anakuchonganisha
Tanga Jamaa ni balaaa njoo dm nikupe namba utakuja kunishukuruUnaeza tutajia tupo sehemu gani??, Mana nina ndugu yangu ni Kama amerogwa aisee
Mekuchek DMTanga Jamaa ni balaaa njoo dm nikupe namba utakuja kunishukuru
Hivi hamna mganga anayeweza nisaidia kuwa naweza pata mbususu bila kuhonga?Huu Uzi Maalumu wa Kupeana Connection Za Waganga wa Kienyeji na Shuhuda Mbalimbali.
Kikubwa Toa Shuhuda Elezea Location Alipo Mawasiliano sio Muhimu kwa Kuwa watembeaji ni Watu wa Kujiongeza.
Nitaanza mimi.
1. Mganga wa Kwanza Nilikutana Naye kigoma Huko wilaya Ya Kakonko , Alikuwa Mama wa Makamo Mwenye Mguu Mbovu , Yule Mama Alikuwa Kiboko Aisee Akikufanyia Jambo Lazima lishike.
Kwanza Ukifika Kwake Kazi Anafanya Asubuhi tu Saa 12 mpka sa4 mwisho , Ukiingia Tu Unakutana na Kitambaa Ukutani kama Kuna Wabaya waliowahi kukufanyia kitu kibaya wote utawaona pale na vitu vyote walivyokufanyia , Mkishaangalia pamoja ndio Anaanza Matibabu.
Huyu ndiye aliyenifanya niamini baadhi ya Mambo tunayo yaonaga kwenye muvie za Kinigeria kuwa Yapo . Alikuwa kiboko sanaa kwa maradhi ya kimwili na wale wanaotaka hela za masharti . Kwa bahati mbaya mwaka jana niliambiwa amekufa kamwachia mtoto wake sijajua kama huyo mtoto atakuwa balaa kama Mama yake.
2. Nikajongea maeneo ya Biharamulo huko Nilikutana na Fundi ambaye anapiga Ramli Usiku yani huyu ni kiboko ya Wasiri , Nikienda pale akianza ramli anauwezo wakumuita mtu yoyote popote Alipo atakuja na Atatoa siri zote yaani ataongea kila kitu . Huyu nilikutana na baadhi ya viongozi wanaofichuaga siri za watu ila huyu mganga naye nilimwamini kwa kiasi fulani ingawa sikupata tiba kwake mana nilienda kuwasikiliza na kuwaita baadhi Ya watu.
3. Kuna mmoja Nilienda kwake Aisee huyu yeye nilimuona hamna kitu alikuwa maeneo ya Ukerewe kwanza picha inaanza kila alichoniambia alinambia vitu ambavyo sijawahi fanya wala kunikuta ila akawa anakomaa kuwa hayo ndo matatizo yangu yule mzee nilimkubalia ila nilivotoka sikurudi kabisa.
4. Kuna Mganga Nilikutana Naye maeneo ya Bagamoyo ni shehe yeye anatumia visomo binafsi sio muumini sanaa wa kusomewa kwani naona ni sawa tu na kuombewa unaweza fanikisha au usifanikishe , Yule mzeee Alinipeleka baharini Tukavunja nazi na Kusoma Dua zao zile ila yule kilichonipeleka sikukufanikisha Japo wenyeji walikuwa wakimsifia sanaa.
Nishakutana na waganga wengi mpka wa Dar es Salaam wakweli na Waongo ila Asikudanganye mtu Ukiamua kuamini waganga wapo watakaokusaidia na wapo watakaokupoteza kikubwa ni Kuwatambua tu , Uzuri ukishakuwa mtembeaji sanaa Huwezi Danganywa kinjinga.
Mi ngoja niishie hapa wengine endeleeni mtoe mliyokutana nayo kwa Waganga huko , saivi natafuta connection ya Kwamsisi kuna mambo nataka nikawaone Nao Ujuzi wao
Kuna mheshimiwa mmoja alisema ana faili mirembe inabidi ashauriwe aende hukoKuna Mganga maeneo haya ya Nkome Geita anaitwa Mariam, huyu mama ni bigwa wa jutibu vichaa, binafsi kuna mtu wangu wa karibu alitibiwa kwa muda mfupi sana.
Mganga-MchungajiYani Kwa YESU ndio mwisho wa kiherehere bila YESU ningekua miongoni mwa hao waganga,jina lake litukuzwe milele na milele
Njoo dmSasa sikieni,
Kuna mtu amenidhulumu kama 40mil hivi. Nataka anirudishie hii hela au aondoke tu nikadai changu msibani.
Ila kitu kimoja Kwa Sasa sina hela ya kumlipa mganga hivyo nikilipwa hizo nazodai ndio nitatoa humo humo ya mganga pamoja na ahsante kwa atakaeniunganisha.
Mwenye anajua hii issue ina solvika vipi karibu DM.
NB
Mdaiwa wangu anaweza nae kua ni mshirikina hatari pia hivyo mtaalam wa hii mambo awe yuko vizuri tu.
Kuhusu hao watu waliopewa nguvu za kusaidia jamii zao ukienda kwa wasukuma-MWANZA &GEITA kuna historia ya bwana anaitwa Ng'wana Marundi wakikuelezea mpaka unashangaaSema waafrica tumeoshwa bongo zetu na wazungu zikaosheka tunatumia vibaya sana dhana ya neno Mungu, wazungu wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kutuaminisha kuwa vitu vyetu vyote ni vibaya, wazungu wamekuja Africa haifiki hata miaka 500 wakati waafrica tulikuwepo kwenye bara hili zaidi ya miaka milioni 4 iliyopita history inathibitisha hilo. Kwahiyo mnataka kusema waafrica walikuwa hawamjui Mungu wala hawaabudu? Jiulize kwanin unaitwa James wakati wewe sio mzungu na unaitwa omary wakati wewe sio mwarabu, kwenye imani zetu watu weusi walikuwepo watu waliopewa nguvu na mungu ya kuisadia jamii yao kwenye matatizo flani(kisasa mnawaita the choosen) pia katika jamii walikuwepo watu waliopewa nguvu wakazitumia vibaya so inategemea unaenda kwa mganga yupi kati hao.
Hakunaga mganga meatu, nimezaliwa pale na kuishi miaka zaidi ya 20
Huyu jamaa ni wa manyoni sio?Kuna jamaa alikuwa na mke wake ,sasa baadae akaongeza mke wa pili
Maisha yakasogea sana basi yule mke wa kwanza akaona huu ni ujinga akaenda kwa mganga wa kwanza ili kutaka mke wa pili aachike lakin mganga yule hakuweza
Akaenda kwa mganga wa pili zikapigwa nyungu za kutosha
Siku ya pili tu asububi yule mke wa pili anataka talaka yake.
Mume anashangaa kulikoni kwani nimekukosea nini??
Mke hataki kuelewa anamwambia ww niache tu sitaki kuishi na wewe
.mumu kagoma kutoa talaka ,ikabidi mke aende polisi kushinikiza talaka
Mume akaona isiwe tabu akaandika talaka akampa mke , na mwisho wao ukaishia hapo
Uchawi upo ndugu zangu
Na hawa waliofanyiana hivi ni watu ninao wafahamu kabisa wa kijijini kwetu
Na ukipenda sana waganga mwisho utavikwa nyota la kichawi huna Imani ndo maana visomo havifanyi kazi visomo vyataka subra sana matokeo huchelewa ila ilijibu imejibu wewe pendelea waganga utakuja na Uzi unaojuta kwenda kwa waganga kwanza wengine wanaishia kuiba nyotaHuu Uzi Maalumu wa Kupeana Connection Za Waganga wa Kienyeji na Shuhuda Mbalimbali.