Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mbinguni utaenda kudeki vyoo...Mimi hapa,njooni PM niwatibu. Lolote mnalitaka kwenye maisha yenu mtapata,shida zenu zitapata solutions.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbinguni utaenda kudeki vyoo...Mimi hapa,njooni PM niwatibu. Lolote mnalitaka kwenye maisha yenu mtapata,shida zenu zitapata solutions.
Jamani,mbona hivyo mkongwe mwenzangu?Mbinguni utaenda kudeki vyoo...
Yohana Mbatizaji ndio kanituma nikuambie hivyoJamani,mbona hivyo mkongwe mwenzangu?
Yupo mzee wa kipemba anasaidiaUkifanikiwa nipe connection ndugu yangu
Daaah uyo mzee alikufa bhana nilipata bahat ya kutubiwa nae baada ya miaka kadhaa kwenda ku renew dawa nikaambiwa mzee alisha kufa, ikabid nitibiwe na mtoto wake japo dawa hazikuwa nzur kama mwanzonKulikuwa na jamaa wa Tanga (Mandondo,RIP)akikuchanjia dawa risasi haipiti inaonekana kama tu kakipande ka mchanga kamekukwaruza.
Muongo wewe.Kuna bibi yeye anagawa vyeo tu ,,Yuko namanyire nkasi
Mi natafuta mganga wa utajiri hata kama nitaishi muda mfupi ili afanikishe lengo la kuwa tajiri nipo serious mkuu.
Masharti yoyote nipo tayari kasoro la kutoa kafara ndugu wa karibu.
Misheni tauni.Mkuu unafanya kazi gani.
Sawa. Ingekuwa mambo ya business kwa namna 1 au nyingine ningesaidia.Misheni tauni.
tukulipe nini kwa kazi uliyo ifanyaili ugonjwa wake usimrudie inabidi nimuoe Nisaidie mm mkuuSawa. Ingekuwa mambo ya business kwa namna 1 au nyingine ningesaidia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haukurithi ndugu yangu ujee unisaidieee kunipa dawa ya biasharaaa.babu yangu mzee MHANDO ni mganga, mambo aliyo wahi kuyafanya nikishuhudia ni mengi
1. Mke wake wa mwisho alikuwa mtoto wa Mchungaji wa kanisa kubwa tu KKKT utastaajabu ya Musa mtoto wa mchungaji kuolewa na Mganga wa kienyeji.
huyu bibi alikuwa kichaa ila mrembo haswa walimuombea hadi ulaya walimpeleka lakini walishindwa kumtibu. babu yangu anao uwezo wa kutibu vichaa.
yule bibi alipelekwa kwa Babu akiwa amefungwa kamba za mikono na miguu lakini sekunde chache baada ya kupewa dawa za hapa na pale alipona kabisa. ndugu zake walifurahi sana ndugu yao kupona ila kikaja kizungu mkuti watamlipa nini mganga...?
mganga alipo ulizwa "tukulipe nini kwa kazi uliyo ifanya
mganga akasemaili ugonjwa wake usimrudie inabidi nimuoe
kiukweli si mlaumu Babu yangu kabisa imagine unaletewa mgonjwa kama picha hapo chini unge fanyaje...? View attachment 2837244
2. mjomba angu aliua kutokana wivu wa mapenzi kesi yake ilikuwa hot sana kwa wakazi wa buguruni watakuwa wanaikumbuka hii miaka ya 2004 hivi kuna jamaa alimchoma mwanamke visu tumboni utumbo ukamwagika...[emoji24][emoji24][emoji24]
hii kesi ilikuwa ngumu na muuaji alihukumiwa kunyongwa hadi KIFO. kibuyu cha Babu kilifanya kazi hivi sasa mtu huyo yupo Uraiani...!
3. alikuwa na uwezo wa kumsahaulisha hakimu kiasi mwenye haki akafungwa na mshitakiwa akaachiwa huru nyie uganga upo...!
kesi zipo nyingi alizo fanya ila kwa bahati mbaya Babu yangu hivi sasa ni Marehemu amelala kwenye nyumba yake ya milele[emoji24][emoji24][emoji24] mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi [emoji120]
🤣🤣🤣🤣 kwasasa nipo nigeria ila very soon narudi kaa kwa kutulia...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haukurithi ndugu yangu ujee unisaidieee kunipa dawa ya biasharaaa.
Huko wengine tunatafuta tiba tu.Umaskini mwingine ni wakujitakia tu, yaani unaamini kwa kupewa connection ya mganga fulani utatoboa maisha?
Mbona mganga mwenye ni choka mbaya tu kila idara ya maisha yake!!?