sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Ndoa ni zaidi ya mgegedo.Ndoa nyingi za kitanzania sikuhiz baba yuko mkoa mwingine mama mkoa mwingine kikazi, Vipi hapo kwenye swala la mgegedo unajipimiaje...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa ni zaidi ya mgegedo.Ndoa nyingi za kitanzania sikuhiz baba yuko mkoa mwingine mama mkoa mwingine kikazi, Vipi hapo kwenye swala la mgegedo unajipimiaje...?
Brother hata wewe una amini hivyo??Hawa unaoona wanazifurahia ndoa ujuwe tu kuwa the man can provide. Anayeweka pesa nje ya equation muangalie tena...
200% mdogo wangu, wanawake wachache sana watafurahia ndoa yenye magumu. Subiri uwe laid off kazini then utaona aina ya mke uliyenaeBrother hata wewe una amini hivyo??
He he...Mungu aepushe maana....200% mdogo wangu, wanawake wachache sana watafurahia ndoa yenye magumu. Subiri uwe laid off kazini then utaona aina ya mke uliyenae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mods please tunaomba mdeal na watu wasio fata maelekezo ya uzi.
Tunataka mambo mazuri ya ndoa tuu
Hongera sana mkuu, unajua watu hutazama maisha in a different dimensions na tunatofautiana levels of “Endurance”.Mnaosema kwamba ndoa tamu ikiwa pesa ipo,ikikosekana utamu unaisha poleni kwa kukosekana uaminifu kwenye ndoa zenu.Binafsi najua kwenye maisha kuna kupanda na kushuka so hata kesho tukiamka hatuna kitu mapenzi yangu kwake hayatakoma.Hii ni kwasababu tulivitafuta na kwa imani tutavitafuta tena.Binafsi sijawai juta kuolewa na sijui kama nitajuta.
Ndo ni nzuri jamani,kuwa na mtu wa kumwambia hisia zako at anytime na bla bla nyingine nyingine raha sana.
Unakula chakula ukimaliza unamla na mpishi....Uzuri mmoja wa ndoa ni kwamba hulali na nyege wala njaa.. Ukishakula cha jioni utakula kingine cha usiku
Mtaachana tuuuKutokana na hali niliyomo basi nasema hivi ndoa ni tamu sana, mwenza wangu kanifanya niifurahie hii taasisi, nitarudi baadae kwa maelezo zaidi, nasikia ananiita
Unakula neno na madhabahu yake!Unakula chakula ukimaliza unamla na mpishi....
Na mtaachana tu nakwambia usitutisheAu Kuna ile unakuta siku hiyo umeamua kumpiga show mpaka anakimbilia room y watoto,,,,, unaanza mbembeleza kesho nakununulia chupi anajibu ulininunulia dazani juzi Hapa bado zingine sijavaa,,, unaamua mwambia basi tutajenga nyumba nyingine, unakuta anatabasamu anakwambia nimechoka mume wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwisho huwa namwambia njoo nikunyonye uchi japo dakika Moja ktkt y sucking unasikia basi malizia baby ila jitahidi umalize chap
Hiyo ni mada nyingine ya ndoa ndoanoNdoa nyingi za kitanzania sikuhiz baba yuko mkoa mwingine mama mkoa mwingine kikazi, Vipi hapo kwenye swala la mgegedo unajipimiaje...?
Kwamba wakubwa hawalali na mkojo ? Hahahahah nadhani umenisomaUzuri mmoja wa ndoa ni kwamba hulali na nyege wala njaa.. Ukishakula cha jioni utakula kingine cha usiku
Mgegedo ni ndoa yenyewe, juzi mahakama imevunja ndoa kisa hakuna utamu ndani kwa miaka 18 mzee hana korodani.Ndoa ni zaidi ya mgegedo.