Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Hongera sana mkuu, unajua watu hutazama maisha in a different dimensions na tunatofautiana levels of “Endurance”.

Kuna watu hufurahia maisha as long as kuna amani ya moyo tu and they don’t care about other stuffs! Hawa ndio wale ambao wako true with themselves! Hawana matata kabisa! Ale mchicha dagaa ugali as long as kuna upendo vipindi vya shida na raha yeye atakuwa pamoja na wewe tu and too suportive emotionaly. Hawa ndio wengi hufurahia ndoa. If you happen to have this kind of marriage then you are damn lucky.

Wengine hufurahia maisha so long as kuna pesa tu ya kuburudisha nafsi zao. They don’t care about peace of mind alimradi kuna pesa ya kuspend tu wao wataendelea kuvumilia ndoani kinafiki tu! Kundi hili ndio wengi na hu suffer na matatizo ya ndoa big time especially in bad financial times! Mifarakano, ugomvi na kelele yani nyumba hugeuka jehanamu!

So hongera sana kama una ndoa iliogubikwa na upendo. Kweli mlichaguana vyema
 
Na mtaachana tu nakwambia usitutishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…