Ndoa njema ni pepo ya duniani kabla ya mbiguniMmh ila ndoa yetu sisi tutakuja kushuhudia mema kweli au itakua kila siku matukio ya kutisha😀😀 kama sikuamini amini vile...
Yafungulie Uzi wake prmbeni siyo hapaTuhamieni kwenye mabaya mmeshatushawishi cha kutosha..
Waweza kuwa na stress sana juu ya kazi au maisha kwa ujumla lakini ukirudi nyumbani ukakutana na familia na mke yaani stress zote tupa kule
Kingine, hakikisha umeoa mke wako. Wengi wanaoa wake za watu bila kujua. Yani unakua nae lkn mawazo yake na mwili wake unamuwaza mwanaume mwingine kbsUkitaka ufurahie ndoa
1. Hakikisha tena uhakikishe kwelikweli UOE/UOLEWE na rafiki yako. Rafiki yako mlioshibana sana na urafiki utangulie then mapenzi yafate.
2. PESAPESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA tena uwe na PESA PESA PESA PESA.
Otherwise ndoa ni tamu sana na chungu sana na bora ndugu zetu waislam wanarusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja ila kwa wakristo ni kitanzi ambacho ni kigumu sana. Hongereni wote mnaofurahia ndoa
usiku mnyama akisimama tu unaweka hasa alfajiri hadi rahaHakika liko kusudi la Mungu katika mapenzi! Upendo ni tunda tam sana linalotafutwa na yule muovu!
Naomba kwa Uzi huu tuambizane Yale mazuri yaliyomo kwenye ndoa!
Ili wale tunao ogopa kuingia tupate hamasa!
Mliopo kwenye ndoa msishiriki kuyapa ushindi yale mabaya tu yasikike masikioni bali hata yale matam!
Naomba leo muyaweke hapa Yale mazuri ili wenye hofu wayapime na wingi wa Yale mabaya!
Kuna wakati huwa najiuliza! Hivi Busu la kila siku kwa mwaka mzima inamaana halina uzito kuliko teke la siku moja?
Hamuoni ya kwamba Wanandoa wanafurahia zaidi kuliko mda wa chuki?
Wanandoa jamii inawatazama nyinyi, je kwanini Hampendi kuonesha jamii Yale mazuri ili kuwaondolea hofu? Picha za mahaba mmezitia kufuli lakini za kuchinjana mnazileta bayana kwanini?
Naomba leo kwa yoyote humu anaejua tam yoyote ya ndoa atuambie hapa!
Story za kuchinjana na kuchomana visu na mkaa ebu leo tuziweke pembeni tuhesabu Faida za ndoa!
Wanandoa kama mtaamua kunyamaza hapa basi mtakuwa mmeshiriki dhambi ya kuyatangaza Yale mabaya yasikike zaidi kuliko mema!
Siyo kila siku tusikie negative tu!.. Naomba leo tuweke utam hadharani hapa ili ndoa iheshimiwe na watu wote! Nawangojea hapa huku nakula zangu karanga sitoki!
Siyo lazima uwe kwenye ndoa, hata kama haupo kwenye ndoa lakini unayajua matamu ya ndoa karibu ushuhudie hapa
pesa ni jawabu ya mambo yoteKumbe ndoa ni asali na maziwa namna hii? Ila ombeni hela ziwepo tu
Acha tu na stress zake za siku ndoanapozimaliaga hapoHahah hapo kenye umbea pataaM hapo ndipo mipango hufanyika
Naunga mkono namba 1.Ukitaka ufurahie ndoa
1. Hakikisha tena uhakikishe kwelikweli UOE/UOLEWE na rafiki yako. Rafiki yako mlioshibana sana na urafiki utangulie then mapenzi yafate.
2. PESAPESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA tena uwe na PESA PESA PESA PESA.
Otherwise ndoa ni tamu sana na chungu sana na bora ndugu zetu waislam wanarusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja ila kwa wakristo ni kitanzi ambacho ni kigumu sana. Hongereni wote mnaofurahia ndoa
Had weweNaunga mkono namba 1.
Nimecheka sanaHawa wanavoongea utafikili kweli jichanganye uone;
Mambo huwa ovyoo ukipigika (ukifulia)
Plus mgegedo..Ukihitaji mtu wa kumweleza shida zako, hofu yako, huzuni yako, mawazo yako, furaha yako au hata mipango yako huna haja ya kumpigia shost, unamsubiri babe akirudi unaanza kumweleza, unadekezwa, unashauriwa, unatiwa moyo, na unnapata support ya kutosha
Yaani hii pia inanipa raha, Miye na mwenza wangu tulikuwa marafiki basi ni kumwambia tuu uko wapi? Nakuhitaji basi akitoka tuu ofcn fasta home.Ukiwa na hamu ya kugegedwa hupati stress yaani unajisevia tu muda wowote, halali yako
Babe ile hela ulisema unatuma haujatuma ujue!!One thing MUST remain constant...PESA!
Oa halafu upigike, dadeq.
Where is Espy ?? Aje atupe shuhuda
Hahaha, nimeachwa kisa sina hela mkuu. Aje athibitishe hapa.
Hahaha huyu huyu shem darlin Espy
Nasingiziwa mazito mimi jamani[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Huyu huyu mzee, tough luck acha tu. Ila "nitasimama tena"[emoji23]
Sasa hamna pesa unafurahia nini? Aaah bwana we hebu usitufunge kamba.Hongera sana mkuu, unajua watu hutazama maisha in a different dimensions na tunatofautiana levels of “Endurance”.
Kuna watu hufurahia maisha as long as kuna amani ya moyo tu and they don’t care about other stuffs! Hawa ndio wale ambao wako true with themselves! Hawana matata kabisa! Ale mchicha dagaa ugali as long as kuna upendo vipindi vya shida na raha yeye atakuwa pamoja na wewe tu and too suportive emotionaly. Hawa ndio wengi hufurahia ndoa. If you happen to have this kind of marriage then you are damn lucky.
Wengine hufurahia maisha so long as kuna pesa tu ya kuburudisha nafsi zao. They don’t care about peace of mind alimradi kuna pesa ya kuspend tu wao wataendelea kuvumilia ndoani kinafiki tu! Kundi hili ndio wengi na hu suffer na matatizo ya ndoa big time especially in bad financial times! Mifarakano, ugomvi na kelele yani nyumba hugeuka jehanamu!
So hongera sana kama una ndoa iliogubikwa na upendo. Kweli mlichaguana vyema