Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

sunaona huu uzi watu wanavyosifia ndoa ukifunguliwa mwingine wa kuandka mabaya hawa hawa wanaocoment ndo wanakuja kucoment na emoj za vilio,sasa unashindwa kuelewa niende wapi.

kuna mmoja hapo naona anasifia sana thread zake ni za vilio tupu,[emoji1][emoji1]
 
Ukitaka ufurahie ndoa
1. Hakikisha tena uhakikishe kwelikweli UOE/UOLEWE na rafiki yako. Rafiki yako mlioshibana sana na urafiki utangulie then mapenzi yafate.
2. PESAPESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA tena uwe na PESA PESA PESA PESA.
Otherwise ndoa ni tamu sana na chungu sana na bora ndugu zetu waislam wanarusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja ila kwa wakristo ni kitanzi ambacho ni kigumu sana. Hongereni wote mnaofurahia ndoa
 
Ukitaka ufurahie ndoa
1. Hakikisha tena uhakikishe kwelikweli UOE/UOLEWE na rafiki yako. Rafiki yako mlioshibana sana na urafiki utangulie then mapenzi yafate.
2. PESAPESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA tena uwe na PESA PESA PESA PESA.
Otherwise ndoa ni tamu sana na chungu sana na bora ndugu zetu waislam wanarusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja ila kwa wakristo ni kitanzi ambacho ni kigumu sana. Hongereni wote mnaofurahia ndoa
Kingine, hakikisha umeoa mke wako. Wengi wanaoa wake za watu bila kujua. Yani unakua nae lkn mawazo yake na mwili wake unamuwaza mwanaume mwingine kbs
 
NDOA UONGEZA THAMANI KWENYE MAISHA YA MWANA NDOA KATIKA MAENEO HAYA:

KIAFYA: Kuwepo kwa mtu wa kudumu mwenye kujali hisia zako ni tiba tosha;unyumba ni tiba tosha ya uchovu, kisirani, stress n.k. Pia, katika ndoa ndipo tu tamaa za ngono zinaweza kutoshelezwa inavyofaa. Ni katika ndoa tu ambapo mahusiano ya kingono huonwa kwa kufaa kuwa chanzo cha shangwe. (Methali 5:18) Fuatilia watoa huduma kama manesi, walimu, masecretary, walio na ndoa wanakuwa wakarimu kuliko ambao sio kwan kuna ukosefu wa shangwe kwao.

KIJAMII: ndoa ni chanzo cha ustawi wa watoto kiakili, kiimani, kinidhamu nk. ;ndoa inaunganisha koo mbili tofauti. ndoa ni chanzo cha network, biashara, kazi na kuinuana kiuchumi.

KIUCHUMI: maisha ya wawili ni bora kuliko mmoja, "Na mtu akiweza kumshinda nguvu mmoja aliye peke yake, wawili wakiwa pamoja wataweza kusimama dhidi yake.”—Mhubiri 4:9-12.kuna wana ndoa wengi wamestawi kiuchumi kwa kuwa pamoja. wanaume/wake wengi wamefungua biashara kwa ajili ya wake zao; Mke/ mume anaweza kukopa mkopo bank/kazini kwa ajili ya mwingine.

KIIMANI: ndoa uongeza thamani kwenye imani za wana ndoa, kuna baraka nyingi za kimungu juu ya wana ndoa na ndio maana MUNGU aliumba watu wa jinsia mbili kwamba kuoana sio matakwa ya binadamu, sijui eti upate heshima. Ni maumbile asili, ni sheria ya asili na uwezi kupingana nazo kama uko timamau kichwani. Mungu angeweza umba Adamu na hawa na kuwaweka sehemu tofauti, aliwaweka pamoja. ili kila mmoja amkamilishe mwenzie, kwamba kuwa na kipato,umaharufu, biashara kubwa, cheo kikubwa, urembo ni vitu vya ziada na kawaida na havikukamilishi kama binadamu. lazima awepo wa jinsia tofauti na wewe kukamilisha.

MBILI ni kubwa kuliko MOJA!!
 
Hakika liko kusudi la Mungu katika mapenzi! Upendo ni tunda tam sana linalotafutwa na yule muovu!

Naomba kwa Uzi huu tuambizane Yale mazuri yaliyomo kwenye ndoa!

Ili wale tunao ogopa kuingia tupate hamasa!

Mliopo kwenye ndoa msishiriki kuyapa ushindi yale mabaya tu yasikike masikioni bali hata yale matam!

Naomba leo muyaweke hapa Yale mazuri ili wenye hofu wayapime na wingi wa Yale mabaya!

Kuna wakati huwa najiuliza! Hivi Busu la kila siku kwa mwaka mzima inamaana halina uzito kuliko teke la siku moja?

Hamuoni ya kwamba Wanandoa wanafurahia zaidi kuliko mda wa chuki?

Wanandoa jamii inawatazama nyinyi, je kwanini Hampendi kuonesha jamii Yale mazuri ili kuwaondolea hofu? Picha za mahaba mmezitia kufuli lakini za kuchinjana mnazileta bayana kwanini?

Naomba leo kwa yoyote humu anaejua tam yoyote ya ndoa atuambie hapa!

Story za kuchinjana na kuchomana visu na mkaa ebu leo tuziweke pembeni tuhesabu Faida za ndoa!

Wanandoa kama mtaamua kunyamaza hapa basi mtakuwa mmeshiriki dhambi ya kuyatangaza Yale mabaya yasikike zaidi kuliko mema!

Siyo kila siku tusikie negative tu!.. Naomba leo tuweke utam hadharani hapa ili ndoa iheshimiwe na watu wote! Nawangojea hapa huku nakula zangu karanga sitoki!

Siyo lazima uwe kwenye ndoa, hata kama haupo kwenye ndoa lakini unayajua matamu ya ndoa karibu ushuhudie hapa
usiku mnyama akisimama tu unaweka hasa alfajiri hadi raha
 
Ukitaka ufurahie ndoa
1. Hakikisha tena uhakikishe kwelikweli UOE/UOLEWE na rafiki yako. Rafiki yako mlioshibana sana na urafiki utangulie then mapenzi yafate.
2. PESAPESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA PESA tena uwe na PESA PESA PESA PESA.
Otherwise ndoa ni tamu sana na chungu sana na bora ndugu zetu waislam wanarusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja ila kwa wakristo ni kitanzi ambacho ni kigumu sana. Hongereni wote mnaofurahia ndoa
Naunga mkono namba 1.
 
Una uhakika kila siku nyumba ina mlinzi ambae ni mume wako hata vibaka wakiingia shoziniga unae ndani huna wasiwasi yani
 
Ukihitaji mtu wa kumweleza shida zako, hofu yako, huzuni yako, mawazo yako, furaha yako au hata mipango yako huna haja ya kumpigia shost, unamsubiri babe akirudi unaanza kumweleza, unadekezwa, unashauriwa, unatiwa moyo, na unnapata support ya kutosha
Plus mgegedo..
 
Kama ulikua bongo lala akili inachangamka katika utaftaji ile ukicheki kuna mtoto wa watu ndani.
 
Ukiwa na hamu ya kugegedwa hupati stress yaani unajisevia tu muda wowote, halali yako
Yaani hii pia inanipa raha, Miye na mwenza wangu tulikuwa marafiki basi ni kumwambia tuu uko wapi? Nakuhitaji basi akitoka tuu ofcn fasta home.
 
Hongera sana mkuu, unajua watu hutazama maisha in a different dimensions na tunatofautiana levels of “Endurance”.

Kuna watu hufurahia maisha as long as kuna amani ya moyo tu and they don’t care about other stuffs! Hawa ndio wale ambao wako true with themselves! Hawana matata kabisa! Ale mchicha dagaa ugali as long as kuna upendo vipindi vya shida na raha yeye atakuwa pamoja na wewe tu and too suportive emotionaly. Hawa ndio wengi hufurahia ndoa. If you happen to have this kind of marriage then you are damn lucky.

Wengine hufurahia maisha so long as kuna pesa tu ya kuburudisha nafsi zao. They don’t care about peace of mind alimradi kuna pesa ya kuspend tu wao wataendelea kuvumilia ndoani kinafiki tu! Kundi hili ndio wengi na hu suffer na matatizo ya ndoa big time especially in bad financial times! Mifarakano, ugomvi na kelele yani nyumba hugeuka jehanamu!

So hongera sana kama una ndoa iliogubikwa na upendo. Kweli mlichaguana vyema
Sasa hamna pesa unafurahia nini? Aaah bwana we hebu usitufunge kamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom