Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Kuna ile moment umefika home kutoka kazini, then mamsap anakupokea halafu anakukaribisha ndani. Kisha unaingia chumbani anakufuata nyuma, anakuuliza siku yako ilikuwaje mara akuhadithie mawili matatu huku anachukua nguo zako ulizovaa anapeleka kwenye kikapu cha nguo chafu.

Anakusaidia kuchagua nguo ya kuvaa kisha anakuuliza utapenda akuandalie nini ule then anatoka kwenda jikoni kukuandalia.

Then mzee unaenda sebuleni anakuja anakuletea kinywaji mnakaa mnapiga story huku macheki kideo huku anakwenda kuchungulia jikoni mapishi yake na kurudi na kwenda tena na kurudi.....

Dah ndoa raha sana...
 
ndoa za kwenye tamthilia raha sana
 
Ok,,, positive energy tu...

Mapenzi matamu sanaaaa....
 
Back
Top Bottom