Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
HomesickKama kawa kama dawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HomesickKama kawa kama dawa
ndoa za kwenye tamthilia raha sanaKuna ile moment umefika home kutoka kazini, then mamsap anakupokea halafu anakukaribisha ndani. Kisha unaingia chumbani anakufuata nyuma, anakuuliza siku yako ilikuwaje mara akuhadithie mawili matatu huku anachukua nguo zako ulizovaa anapeleka kwenye kikapu cha nguo chafu.
Anakusaidia kuchagua nguo ya kuvaa kisha anakuuliza utapenda akuandalie nini ule then anatoka kwenda jikoni kukuandalia.
Then mzee unaenda sebuleni anakuja anakuletea kinywaji mnakaa mnapiga story huku macheki kideo huku anakwenda kuchungulia jikoni mapishi yake na kurudi na kwenda tena na kurudi.....
Dah ndoa raha sana...
Jamanindoa za kwenye tamthilia raha sana
Ha ha zipo sana ,sema matatizo yanakujaga majukumu yakikolea kama watoto etc.ndoa za kwenye tamthilia raha sana
MmhHa ha zipo sana ,sema matatizo yanakujaga majukumu yakikolea kama watoto etc.
Yes yesOk,,, positive energy tu...
Mapenzi matamu sanaaaa....