Uzi wa kutolea hasira. Comment chochote hadi hasira zipoe

Uzi wa kutolea hasira. Comment chochote hadi hasira zipoe

Hana heraa achana naye tu Mungi yupo anatenda mema atanipa mwaka mwenye furaha amani na upendo , ataniepushia wanafiki , wenye kusema uongo , ataniheshimisha kumalizia mwaka huu nakuanzia mwingine
Tatizo huwataji [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unakuta kuna mtu una beef nae halafu humuwezi, so unaishia kuumia wewe.
Unahisi
Kuna huyu jamaa sitoelezea chanzo cha bifu letu, ila roho inaniuma siwezi kumfanya chochote. Jamaa anafanya kazi machinjioni so most of the time nikikutana nae ni either ana visu au kishoka kiunoni. Nashindwa hata jinsi ya kumuingia.

Ila namchukia kinyama huyu boya.


Analyse
😂😂😂😂😂unahisi unachinjwa ww
 
Baba Rhobi wewe kubwa la wajinga dunia nzima, kubwa jinga wewe

Hapo hasira zangu nahisi zitakua zimepoa
 
Back
Top Bottom