Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

Land Cruiser Lx.. Haka kavodafone kangu kanagoma kupandisha picha, mwenye picha atuwekee tafadhali...
 
Kwa usawa huu wa Mh. Magu plus Jua kali
Mazao yanakauka shamban
Mi wala sina makuu haka tuu kananitosha
Screenshot_20190210-150402.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwashee, hebu pandisha Rolls Royce Phantom na Ghost. Nikionaga hapo moyo unatulia tuliiiii na nyongeza ni Harley Davison Phatass
 
Back
Top Bottom