Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

Kia stinger 3.6 littres twin turbo v6.
IMG_20190331_220146.jpeg
IMG_20190331_220206.jpeg
IMG_20190331_220354.jpeg
IMG_20190331_220335.jpeg
IMG_20190331_220229.jpeg
IMG_20190331_220256.jpeg
IMG_20190331_220414.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzangu na mimi wa nissan surf mko wapi au tunacoment wapi jaman

Duuh nissan surf hio itakua ni toleo limetoka leo asubuhi.

Kuna Toyota Surf tu kiongozi na sio nissan.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii imefanana na Discovery asee

Yanafanana na magari ya Land Rover mmiliki ni mmoja Tata Motors kama sijakosea. Nadhaani wameunganisha na man power yao thus why ford za sasa ukiiangalia vyema unaona features za Land Rover
 
Back
Top Bottom